Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,387
- 17,976
Alikuwa anajua hilo toka siku ya kwanza 'anawekwa' madarakani.Felix kastukia bwana tribe bado ni rais wa DRC
Now he thinks he is the actual President of DRC because all government's armed men sulutes him as chief in command!!
Let him get what he wants.
Ningekuwa Mimi ndiyo yeye ningejiimarisha taratibu kwenye vyombo vyote vya dola kwa muhula wa kwanza kisha unamtosa Joseph Kabila na wapambe wake wote awamu ya pili wakiwa hawana nguvu kwenye serikali na majeshi.