mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Khs Fayulu kuchakachuliwa hio ndio ilifanyika mchana kweupe.Mgawanyiko unazidi kuongezeka miongoni mwa wabunge wa Kabila na wa Tshekedi.
Ushirika wa wachawi haudumu, Felix aliingia madarakani kwa mbeleko ya Kabila ila sasa anataka kuichana.
Huenda aliyeshinda kihalali alikuwa Martin Fayulu ila aliporwa ushindi na karma inawatafuna waporaji.
Lkn naona Tshisekedi ni rais mzuri ni vile tu haya mambo ya ushirika na Kabila(mwenye majority) yanampa shida sana.