DR Congo: Rais Tshisekedi aamua kuvunja Serikali ya Muungano

Felix kastukia bwana tribe bado ni rais wa DRC
Alikuwa anajua hilo toka siku ya kwanza 'anawekwa' madarakani.

Now he thinks he is the actual President of DRC because all government's armed men sulutes him as chief in command!!
Let him get what he wants.

Ningekuwa Mimi ndiyo yeye ningejiimarisha taratibu kwenye vyombo vyote vya dola kwa muhula wa kwanza kisha unamtosa Joseph Kabila na wapambe wake wote awamu ya pili wakiwa hawana nguvu kwenye serikali na majeshi.
 
Alikuwa anajua hilo toka siku ya kwanza 'anawekwa' madarakani.

Now he thinks he is the actual President of DRC because all government's armed men sulutes him as chief in command!!
Let him get what he wants.

Ningekuwa Mimi ndiyo yeye ningejiimarisha taratibu kwenye vyombo vyote vya dola kwa muhula wa kwanza kisha unamtosa Joseph Kabila na wapambe wake wote swami ya pili wakiwa hawana nguvu kwenye serikali na majeshi.
Kachoka kuigiza
 
Mgawanyiko unazidi kuongezeka miongoni mwa wabunge wa Kabila na wa Tshekedi.

Ushirika wa wachawi haudumu, Felix aliingia madarakani kwa mbeleko ya Kabila ila sasa anataka kuichana.

Huenda aliyeshinda kihalali alikuwa Martin Fayulu ila aliporwa ushindi na karma inawatafuna waporaji.
 
Vita itaanza upya,..Kama nawaona vile M23..wanavyokenua had jino la mwisho
 
Kabila atarudi madarakani one day trust na hatotoka Tena Hadi kwa mtutu .

He is a son of gun .
Na huo ndio upumbavu wa viongozi wetu wengi tizama kama zile style za Gabon na Togo kuwaweka watoto wa marais waliotangulia mbele za haki hapo pana mijitu ipo nyuma inatawala kwa kitendea mbali (remote control )ili yasiwe target kisha wanamwambia dogo (rais )waqt tupo na mzee wako tulifanya kadhaa wa kadhaa. Kifupi hatuwaombei mabaya ndugu zetu bana Congo ila kijua ndio hiki wasipo uanika itabidi wautwange hivyo hivyo.
 
Hivi DRC ikigawanywa walau vipande vinne haitowezekana kutawalika kweli?
 
ungeweza kufikiri kwa kutumia akili badala ya kuwaza makoti ambayo hata hujawahi vaa usingepost hicho...fuatilia mgogoro wa congo vizuri kabla hujapost...Afrika for Afrikans....viongozi upande wa kabila walikua wananufaika kuuza rasilimali kwa mataifa ya ubelgiji na marekani....sasa wanamchallenge Tshisekedi akiingilia fursa zao
sasa hapo ni kosa la hao mabeberu au la hao viongozi unaowatuhumu? ambaye hatumii akili hapa ni nani?
 
kuna mganga fulani alitabiri hivi mwaka 1997
“Mobutu atakufa muda si mtefu,hamalizi miezi 6, laurent kabila hatodumu madarakani ,atakuja rais mwingine naye hatofanikiwa kuiongoza nchi,atakuja mwingine baadae ambaye kidogo atafanikiwa”

Utabili wote ulitimia
 
Hivi DRC ikigawanywa walau vipande vinne haitowezekana kutawalika kweli?

haiwezekani ndio maana Mobutu alipinga hili mpaka anakufa, kuna kipindi iligawanyika hali ikawa mbaya waliuana sana huko, alafu ilivogawanyika jimbo la Shaba ambalo ndio lenye natural resources nyingi kama Diamond na cobalt lilijutenga hivyo kuwa nchi alafu upande mwingine ukawa masikini
Mobutu ili kuhakikisha hawatokuja kufikilia kujitenga tena akawa anateua ma Governor wenye asili ya sehemu A anawapeleka sehemu B ili kuweka umoja wa kitaifa
 
Dawa yao tuwapelekee Magufuli akawatawale mwezi mwezi mmoja tu

jiwe hawezi kuitawala Congo , wacongo sio kama Watz ,wale ukizingua wanaingia msituni kule hakuna waoga yani hata huu uchaguzi ingekua umefanyika kule mpaka sasa kungekuwa na vifo si chini ya milioni 1
ndio maana inasemekana Mobutu aliwahi kumwambia Nyerere “tukibadilishana nchi wewe utawale kwangu na mimi nitawale kwako hautochukua mwezi mmoja utakuwa umeshapinduliwa”
 
Hayo maneno alimuambia lini?
 
hahahaha kwamba watu milioni moja kwa miezi 2 tu toka uchaguzi ufanyike

bila shaka wakongoman wameshaisha wote ni mapori tu huko
 
naona nguvu ya mabeberu kuigombanisha congo inoanekana wakavune vizuri cobalt za kutengeneza iphone
Kwani hawawezi kuiba hata bila ya vurugu? Unajua tunapenda kulaumu wazungu kwa kila kitu lakini ni ujinga wa mtu mweusi tu. Mfano kule UG kinachoendelea yakitokea machafuko mtasema ni mabeberu ndio wametekeleza?
 
we una stress kugundua role model wako ni kibaraka wa CCM kunywa maji utulie
 
we una stress kugundua role model wako ni kibaraka wa CCM kunywa maji utulie
Shida watoto mmejaa JF.... Ni hivi Congo kumeanza kuwepo makundi ya waasi hata kabla ya wabelgiji.

Walikuwepo Maniema kipindi cha wafanyabiashara kutoka pwani kutafuta manamba huko.

Walikuwepo kipindi cha Chief Rwabugiri wa Rwanda alipoiteka kivu miaka ya 1800.

Machifu kibao wa mashariki kuanzia Koo za Bashi, Barega, Bwisha n.k wamechinjana sana kugombea rasilimali huko.

Tuache lawama kwa wazungu, matatizo ya DRC yanasababishwa na ukabila/ Njaa ya madaraka sio Mabeberu.

Tuache kulialia
 
naona nguvu ya mabeberu kuigombanisha congo inoanekana wakavune vizuri cobalt za kutengeneza iphone
Acheni hizo matatizo yenu waafrika ambayo ni uroho wa madaraka muwasingizie wazungu!?? Tatizo ni makubaliano ya kabila na tshekedi, walipomchinjia baharini fayulu!! Sasa ameshindwa kuongoza kwani nguvu anayo kabila na chama chake, yeye kila analotaka kufanya hawezi, na wakongo wanaimani naye sana!! Na kabila anaona akiregea tu atabaki pekee yake na yanaweza mkuta mabalaaa!! Sasa atajirindaje ndio hicho kinachoonekana
 
Back
Top Bottom