hata mkiua mapadri wote bearing in ur mind kanisa la kitume katoliki halitakaa kimya daima.
Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo.
Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva alikuwa akikomnisha waumini na ndipo wakati mtu mwenye silaha alipoingia kanisani na kumpiga risasi.
Tukio hilo lilijiri wakati wa sherehe za ibada ya ubatizo wa wakristo wapya na wanandoa wapya.
Taarifa zinadai kuwa muuaji huyo ni kutoka katika kundi la waasi wa Mai Mai Nyatura ambalo ni miongoni mwa vikundi vinavyopambana kudhibiti jimbo hilo lenye rasilimali za madini lakini pia uporaji wa fedha kutoka kwa wanavijiji
Chanzo: BBC Swahili
siasa ni maisha huwezi kutenganisha maisha na siasa.mapadri wanawajibu wa kukemea yote yanayotokea kwenye nchi.Dini na serikali vitu viwili tofauti,tatizo viongozi wa ya kikristo huko DRC kazi yao si kuubiri wao ni kukosoa serikali,ndiyo kazi hiyo? Hayo ndio malipo take.
Kwanza kuandika kwenyewe shida tu, The evil triumph when men of God are silence. ( maovu hushamili watu wema wanapokaa kimya)Dini na serikali vitu viwili tofauti,tatizo viongozi wa ya kikristo huko DRC kazi yao si kuubiri wao ni kukosoa serikali,ndiyo kazi hiyo? Hayo ndio malipo take.