Habari njema, serikali ya DRC imekubali raia wake kufanyiwa majaribio ya chanjo ya corona, thanks to Bill Gates.Mnapenda kuleta taarifa mbaya tu toka DRC, tuleteeni na nzuri, maana ni nyingi kuliko mbaya
OK,nimefanikiwa kufika Bukavu ila mvua/maji yameharibu miundo mbinu,mto Congo umetanuka utadhani ziwa ikiendelea kwa siku tatu nawaakikishi kuna miji itatoweka kwenye ramani ya Congo.Duh pole yao huko wana uvira,nakumbuka mwaka 2017 niliwahi kuutembelea huo mji ulio Karibu kabisa na Bujumbura(Burundi) Katika Safari za utafutaji wa maisha.
Yule Muyembe si walitaka kumuua kwa kukubali hiyo chanjo? Hadi akaomba radhi?Habari njema, serikali ya DRC imekubali raia wake kufanyiwa majaribio ya chanjo ya corona, thanks to Bill Gates.
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Kwa kweli. Tujifunze kushukuru na kuridhika kwa neema na baraka tulizopewa na mwenyezi MUNGU.Nimelala zangu nmejifunika duvet cover.
Naperuzi internet nna Gb 20 za kuchezea , wali na mboga zake uko kwa hotpot, umeme unawaka nikitoka hapa naoga maji ya motooo.
watu wako Uvira hawaijui Kesho yao[emoji22] Nyumba zimeenda na maji hawana pa kulala pengine wanalala wamesimama na nguo zilizoloa/wengine misiba.. Lakini bado nalalamika mambo magumu siridhiki na hali yangu.Mungu anisamehe sana
Ndio ya Congo hayo mkuuYule Muyembe si walitaka kumuua kwa kukubali hiyo chanjo? Hadi akaomba radhi?
Poleni sana ,naona kwa TVHuduma zote lazima zitoke Kinshasa hali nimbaya sana.Tuombee tuko kwa wakati mubaya.
Sent using Jamii Forums mobile app