Dr. Chipoteka

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,121
Reaction score
38,519
Mmmh kazi ipo
 

Attachments

  • HHHHHH.jpg
    12.4 KB · Views: 168
We uko kipande gani
haya kale lunch acha kupoteza muda na pc ukijifanya busy kumbe serikali ndio imeamua tupige dash ongezeko la vidonda vya tumbo kwa kupiga dash limeongezeka hurumia ma dk kwa kuonja hata chai na mkate jamani
 

Attachments

  • GGGGG.jpg
    16.6 KB · Views: 99
We uko kipande gani
haya kale lunch acha kupoteza muda na pc ukijifanya busy kumbe serikali ndio imeamua tupige dash ongezeko la vidonda vya tumbo kwa kupiga dash limeongezeka hurumia ma dk kwa kuonja hata chai na mkate jamani

Mheshimiwa, umeniacha hoi kwa kupost hilo bango. Huyu dr anaonekana ni kiboko ya njia!
 
hapo kwenye kipengele cha nne na tano panahusika sana.........
 
Nafikiri wasanii wa bongo wameliona....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…