utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
-
- #41
Si kweli, hakusema hayo. Either hukumuelwa au ulitumiwa "masaburi" kumsikiliza.
kama hivo ndivyo kwamba hakuba muislam aliyehusika kulipua kanisa arusha, naanza kuamini kwa nini waliompiga risasi zanziba, na waliochoma makanisa kdhaa bara na visiwani kwa nini hawajakamatwa. yawezekana wanaopewa jukumu la kutafuta watuhumiwa ndo watuhumiwa wenyewe.
kama wahusika ni wakristo si wakamatwe tu na kushitakiwa na kufungwa au hata kunyongwa, kwa nini hawakamatwi na hivyo kutoa nafas ya waislam kulaumiwa!
kwa jinsi ulivovalia suala hili njuga yawezekana hata wewe unajua wahusika au nawe ni.mhusika au unashiriki kuficha ukweli ili wahudika wasichukuliwe hatua waendelee kuchoma makanisa na kuua viongozi wa dini. lakini ujue mungu yupo na ndiye anayejua hukumu yenu na washirika wenu
Kama wana jf wangekuwa neutral na hawaegemei upande mmoja wa dini hii mada ilikuwa ni fursa nzuri sana kujadili suala la arusha....kitima akimaliza kuilaumu jamii ya kiislam atarudia utumbo wake kama nguruwe ataanza kuivurugu dini yake
Ambrose alishakamatwa na vyombo vinavyohusika.tuwaache wafanye kazi yao.FBI na CIA wanayo agender ya siri yenye maslahi kwa nchi yao kamwe rusiwategemee.hebu tujiulize.watu wsliomuua kamanda Baro usiku wa manane,walikamatwa baada ya siku chache tena bila kuwatumia hao fbi na cia.lkn cha kushangaza hao fbi na cia mpaka leo sijasikia eti wamemkamata muhalifu yeyote.badala yake ni kama wao ndio wanachochea kwa kuwa wanataka kutimiza maslahi yao.slogan ya America inasema"America has no parmanent friend and has no parmanent enemy but has a parmanent interest"akili za kuambiwa....................
Kukamatwa kwa ambrose aliyekodishwa na pikipiki yake kama mwenye bodaboda yeyete anavyoweza kukodishwa hakufuti ukweli kwamba waislamu kwa kushilikiana na waarabu wa saudia ndio wamerusha bomu hatuwezi kukaa hapa na spin za usalama wataifa wanaotaja majina mawili ya wakristo huku mengine nane hayajatajwa waislamu wamerusha bomu na polisi wanamfanya ambrose ni human Cover yao washindwe na walegee,waelezwe waislamu kwamba makanisa na maaskofu na waumini wa kikristo wakiwaua fedha hazitajaa mifukoni mwao
Kikwete tabgu 2005 kapanda kisiasa kwa kutumia misikiti na kuhubiri utengano wa kuwagawa wananchi kwa mafungu ya kidini,hachukui hatua anabalance anapofanya maamuzi sasa aenjoy wakristo damu zao zinaendelea kumwagika angonge glasi za mvinyo ndio Tanzania aliyoomba kuiongoza
watu wenye mtindio wa akili kama wewe ni janga kuu kwa taifa hili
Nawadharau sana watu ambao waacha kujadili hoja wanaanza kuporomosha matusi.
Kamili Gado alikuwa ana kudharau wewe...
mkuu hapa linatengenezwa tukio ili kuwagombanisha waislam na wakristo. wanajua wanachofanya, na kimsingi wanachotaka ni serikali ianze kuwakamata waislam na kuwaweka ndani. na hapa wanachofanya ni kuwachongea, na baada ya kupiga kelele sana wameamua kutengeneza matukio. hebu ona kwa mfano hili la Arusha walivyoumbuka. hebu jiulize kama waliokuwa kwenye kanisa walimuona ambrose kwa macho yao akirusha bomu na wakataka kumuua kama sio polisi kumuokoa (kuna video niliweka humu ya jinsi askari walivyomuokoa mamods wakaiondoa kwa malengo wanayoyajua wenyewe), jiulize kingetokea nini? na kwa nini wanajaribu kupindisha hata mambo ambayo kila mmoja anayaona? hata hapa JF kwenyewe tunajionea jinsi wanavyopindisha ukweli. kama sio kukimbilia kuwachongea waislam kwa vyombo vya dola. kwa kifupi haya mambo ni zaidi ya tuyajuavyo na kuyaona.kama hivo ndivyo kwamba hakuba muislam aliyehusika kulipua kanisa arusha, naanza kuamini kwa nini waliompiga risasi zanziba, na waliochoma makanisa kdhaa bara na visiwani kwa nini hawajakamatwa. yawezekana wanaopewa jukumu la kutafuta watuhumiwa ndo watuhumiwa wenyewe.
kama wahusika ni wakristo si wakamatwe tu na kushitakiwa na kufungwa au hata kunyongwa, kwa nini hawakamatwi na hivyo kutoa nafas ya waislam kulaumiwa!
kwa jinsi ulivovalia suala hili njuga yawezekana hata wewe unajua wahusika au nawe ni.mhusika au unashiriki kuficha ukweli ili wahudika wasichukuliwe hatua waendelee kuchoma makanisa na kuua viongozi wa dini. lakini ujue mungu yupo na ndiye anayejua hukumu yenu na washirika wenu
Anajikomba kwa nani?SAUT naifahamu kuliko unavyoijua wewe KITIMA hafai ni mtu wa kujikomba tu hana lolote mchumia tumbo tu huyo
HIVI MPAKA LEO HUJUI KWA NINI KULE Iraq Afghanistan na Pakstan watu wanauana? Jiulize kabda ya US na allies kwenda kumuondoa Sadam walikuwa wanalipuana? bila Us et al kwenda kuivamia Afghan walikuwa wanauana? kumbuka Afghan na Pakistan ni majirani na ndugu. kwa kifupi kilichopo pale ni vita kati ya vibaraka na wananchi. Funguka mkuu.Waislamu wamelaaniwa tu!! Huko Pakstan, Iraq, Afughanistan, etc si wanalipuana wao kwa wao misikitini? Au na huko ni mabeberu wanaojitoa mhanga!! Wewe unaweza kumtoa mhanga hata mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni!!
Hapana mkuu mimi ni mkristo wa madhehebu ya katoliki Bishop wangu ni Pengo, na wasaidizi wake eusebius nzigilwa na huyu mwingine nimemsahau jina alisimikwa last week. Napenda kusimamia ukweli tu. Kitima ni janga ndani ya kanisa just mark my words time will tell.