Sikiliza usiwe punguani, muswaada umejadiliwa bungeni, kama mnaona una matatizo ulitaka aurudishe wapi? Kwani ule wa kwanza mlipoenda kumuona Ikulu aliurudisha wapi?
Muswaada umepita unakwenda hatua ya kusainiwa, unasainiwa, unarudishwa bungeni, kama mnataka marekebisho nendeni mkajadili marekebisho bungeni. Hizo ndio kanuni, hakuna longo-longo hapo.