Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa Moshi Vijijini wameonekana wa tofauti sana katika uchaguzi huu, hali hii imejitokeza katika Kata ya Kirima mkutano wa Chami aliokuwa ameuandaa eneo la KNCU Kirima. Pale ambapo mbunge anayemaliza muda wake na aliyewahi kuwa Waziri akiongozana na Sophia Simba walihutubia viti vilivyokuwa vimeandaliwa watu kukaa baada ya wananchi kutoonekana hapo. Ikumbukwe kwamba Kirima ni mojawapo ya Kata zenye upinzani mkali sana katika jimbo la Moshi Vijijini ikifuatiwa na Zingine kama Kindi, Kibosho Magharibi, Uru Kusini, maeneo ya TPC n.k. Nawasilisha!!!!!