OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,820
- 117,371
Dkt.Kijo Bisimba anasema kuwa kuna viongozi "Wanaogopa mpaka wanaogopesha" ila yeye haogopi kwa kuwa anajua haki zake kikatiba!! Maneno hayo aliyazungumza jana kwenye kongamano la Kigoda cha Mwalimu wakati akichangia katika mjadala.