Dr.Bilali atengewa bil 4 kwa matumizi ya kawaida, bil 32 kwa maendeleo ya Zanzibar!!!

Hizo bil 32 zingetumika kupunguza foleni dar, mambo mengine ni ujuha kabisa.
 
Office ya Makamu wa rais ndiyo inahusika na mambo ya muungano, ningetaka kujua ni mambo gani hasa ya muungano? What exactly kinafanywa na hii office, na muhimu zaidi, Tanganyika inachangia kiasi gani na Zanzibar nayo inachangia kiasi gani kuendesha hii ofiice ya Muungano?

LET ZANZIBAR GO!!!

Wazenj hawachangii hata thumni! Hiyo ni gharama ya kutunza 'nyumba ndogo'
 
Huu muungano kama busara haitatumika sijui unaelekea wapi! Naona kama kuna mkakati wa kuona unaishia zake baharini...lets wait and see
 
Mkuu Joka Kuu ukisoma watu kama hawa unaweza kujua tumeungana na watu wa aina gani.
Mtumbatu kwa taarifa naona wewe ni mgeni hapa jamvini lakini tutakupa elimu ili ukirudi Mzalendo.net uwaeleze.

Tumesahasema Tanganyika ikirudi pesa za bure kama hizo bilioni 32 hazitapatikana. Unaposema unachukua chako ni kipi hicho maana unachangia sifuri (zero) sasa unachukua kipi ? Lakini si hicho tu, mishahara ya Wabunge, Wawakilishi na Viongozi wote inatoka hazina Dar es Salaam, kwahiyo mnachukua cha kutosha na zaidi wala si chenu.

Unajua Zanzibar ni nchi isiyo na jeshi wala polisi. Sasa unaposema Tanganyika inawahitaji, ni kwa lipi? Si unajaua Rais anachaguliwa Dodoma, na anapelelekwa na Polisi na kulindwa na jeshi lisilo za Znz, sasa mpini upi mumekamata.
Salimin Amour alijaribu, baada ya hapo imebaki hadithi na tunasikia akienda India tu! Muulize Raza ilikuwaje!

Anyway, Mkuu Joka kuu ukisoma Raia mwema utakutana na habari ya yule msemaji wa Wapemba na Sultani, Ahmed Rajabu. Anasema ZNZ sasa inajua haki na inadai haki. Haki ni hii ya kupewa mishahara watu wakicheza bao, haki ni hii ya kuwasha umeme wasiolipia, haki ni hii ya kupewa bilioni zisizojulikana ni za nini?

Ukimsoma huyu bwana Mtumbatu, halafu uksaoma maoni ya Ahmed Rajabu utajua MZNZ ni mtu wa aina na kiwango gani.

Haya yapo mwisho, Hotuba ya Tundu Lissu imeeleza vizuri tu, sisi tuna kazi moja tu, kuuleza umma kuwa hatuna sababu za kuwa na ZNZ, hatufaidi chochote wala lolote, sasa ni wakati wa kusema LET ZNZ GO!

Akina Lisu wametusikia na wanatuelewa, najua Nape na akina Kigwangalla wote wataona udhalimu huu, nao uzalendo wa nchi yao utasimama. Bila kufanya jambo hawa WZNZ wataomba tuwapeleke makopo ya maji uani!

Hakuna Mkataba
Hakuna serikali 3

Tukautane EAC, LET ZNZ GO!

Nguruvi3,

..achane na Ahmed Rajabu.

..Jamaa amepiga makelele wee, mwisho anakuja kusema wanataka muungano wa mkataba!!! Sasa tunauliza mbona Nyerere na Karume walisaini mkataba pia??

..Wengine wanadai wanataka muungano kama wa EU. Kwanini tusiende kwenye EAC, au SADC?? The crazy thing is, they r not saying what is that they like in the EU.

..Bila kumsahau Maalim Seif. Miaka ya 84 alinukuliwa akisema kwamba wa-Tanzania hatufikirii tena kama wa-Zanzibari au wa-Tanganyika. Wakati yuko nje ya uongozi akaanza kukumbushia habari ya Zanzibar pre-Berlin conference, na akaenda mbali kuikweza na kuitukuza dola ile ya utumwa. Wakati wa kampeni akaulizwa kama akichukua madaraka ataanzisha Central Bank na safafu ya Zanzibar. Seif akaruka kimanga! Sasa ameibuka tena na madai kwamba wanataka "muungano wa kimkataba."

..Pia lipo kundi lingine linajaribu kuwatisha wa-Tanganyika, ati muungano ukivunjika the 10 miles coastal strip itakuwa upande wa Zanzibar. Mimi nasema wachukue ukanda huo, sisi tuwe landlocked. YES, I am that fed up na muungano huu. Mbona Burundi,Uganda,Rwanda,Malawi,Zambia, zote ni landlocked na bado wanadunda??

..Hakuna serikali 1, serikali 2, wala 3. Hakuna mkataba, tukutane EAC. LET ZANZIBAR GO!!!

NB:

..Zanzibar wanachangia kiasi gani ktk hizo bilioni 3 alizotengewa Makamu wa Raisi??

..Ofisi ya Makamu wa Raisi imetenga kiasi gani kwa "maendeleo" ya Tanganyika??
 
Mkuu Joka Kuu ukisoma watu kama hawa unaweza kujua tumeungana na watu wa aina gani.
Mtumbatu kwa taarifa naona wewe ni mgeni hapa jamvini lakini tutakupa elimu ili ukirudi Mzalendo.net uwaeleze.

Tumesahasema Tanganyika ikirudi pesa za bure kama hizo bilioni 32 hazitapatikana. Unaposema unachukua chako ni kipi hicho maana unachangia sifuri (zero) sasa unachukua kipi ? Lakini si hicho tu, mishahara ya Wabunge, Wawakilishi na Viongozi wote inatoka hazina Dar es Salaam, kwahiyo mnachukua cha kutosha na zaidi wala si chenu.

Unajua Zanzibar ni nchi isiyo na jeshi wala polisi. Sasa unaposema Tanganyika inawahitaji, ni kwa lipi? Si unajaua Rais anachaguliwa Dodoma, na anapelelekwa na Polisi na kulindwa na jeshi lisilo za Znz, sasa mpini upi mumekamata.
Salimin Amour alijaribu, baada ya hapo imebaki hadithi na tunasikia akienda India tu! Muulize Raza ilikuwaje!

Anyway, Mkuu Joka kuu ukisoma Raia mwema utakutana na habari ya yule msemaji wa Wapemba na Sultani, Ahmed Rajabu. Anasema ZNZ sasa inajua haki na inadai haki. Haki ni hii ya kupewa mishahara watu wakicheza bao, haki ni hii ya kuwasha umeme wasiolipia, haki ni hii ya kupewa bilioni zisizojulikana ni za nini?

Ukimsoma huyu bwana Mtumbatu, halafu uksaoma maoni ya Ahmed Rajabu utajua MZNZ ni mtu wa aina na kiwango gani.

Haya yapo mwisho, Hotuba ya Tundu Lissu imeeleza vizuri tu, sisi tuna kazi moja tu, kuuleza umma kuwa hatuna sababu za kuwa na ZNZ, hatufaidi chochote wala lolote, sasa ni wakati wa kusema LET ZNZ GO!

Akina Lisu wametusikia na wanatuelewa, najua Nape na akina Kigwangalla wote wataona udhalimu huu, nao uzalendo wa nchi yao utasimama. Bila kufanya jambo hawa WZNZ wataomba tuwapeleke makopo ya maji uani!

Hakuna Mkataba
Hakuna serikali 3

Tukautane EAC, LET ZNZ GO!

Mimi si mgeni katika ukumbi huu ila nilikuwa sichangii tu, na nika register tena, lakini hiyo sio issue, watanganyika hamna ubavu wa kufanya lolote kwa sababu mnatuhitaji fanyeni jeuri mfe njaa, nyinyi ni watu wa ngazi za chini hamjui mchango wa Zanzibar kwa sasa hatuchangii kwa sababu mnalipa watu wetu waliokufa kule Kagera kwenye vita vyenu ambavyo sisi hatuhusiki kama sio sisi mngelimuweza AMIN kwa hiyo mnalipa roho za wazanzibari waliojitoa muhanga kwa ajili yenu, si shangai hamjui kitu kwa sababu hamuambiwi.

Hamna ubavu wa kuvunja muungano watanganyika msilete za kuleta mtakula jeuri zenu, hamtujui sisi nyinyi anatujua Nyerere tu na hayupo waliobaki hawatujui sisi, tukilianzisha mtatafuta pa kutokomea kama malawi au.., kama mna ubavu zuwiyeni hizi pesa halafu mtaona nini kitatokea,

Na katiba mya ni 50% 50% BOT, TCRA, TTCL n. k. kama ilivyo kwa tume ya katiba hapo ndio mtajua sisi nani, nyinyi mnatuhitaji sisi tangu `1964 mpaka sasa nani aliependekeza muungano Karume? nooooooooooooo Nyerere wenu ndio kaja na pendekezo hilo Zanzibar kwa kutuhitaji kwake kwa hiyo hamna ubavu wa kuuvunja vinginevyo curse ya Nyerere itawaandama. sisi Karume alishasema muungano kama koti likubana unalivua kwa siko tukiona taabu zaidi tunalivua kazi kwenu, mno penda muungano mtaungana na mafisi wenu mara hii.
 
Bilioni 4 kwa matumizi yake ya kawaida? Ana matumizi gani huyu kibabu? Na hayo matumizi ya kawaida ndo yepi hayo?

Sasa kama matumizi ya kawaida ya makamu wa raisi ni bilioni 4, je matumizi ya kawaida ya rais ni kiasi gani? Bilioni 8?

Waziri mkuu naye je? Matumizi yake ya kawaida ni kiasi gani?

Halafu ningependa sana kujua fasili ya "matumizi ya kawaida" ni nini! Kwa mnaojua tafadhalini nijuzeni.
 
I think ccm is pointing a middle finger to wananchi, this is ridiculous, ulimbukeni huu..kazi ni kwetu watanzania, ama kuendelea kuwa mabwege au kuwa mashujaa, hongera bilali kwa kutengewa bajeti zaidi ya mfalme...extravaganza...
 
Mtumbatu, hoja zako zina mashiko Mzalendo.net, hapa JF wansema ni too low to respond.Ahsante kwa maoni hata hivyo.

Joka kuu, makusanyo ya ZNZ kwa mwezi ni bilioni 7. Hata kama tutafanya bilioni 20 kwa minajili ya mjadala, kwa mwaka watakuwa wanakusanya bilioni 240. Bajeti yao ni bilioni 647, kinachoziba pengo la bilioni 400 zingine ni pesa kutoka hazina Dar es Salaam. Maalim seif, Shein, Karume, Salimin wanalifahamu hili vizuri sana.

Bilioni 32 ni kidogo sana kwasababu ZNZ hawana bajeti ya jeshi, polisi wala elimu ya juu. Wanchojua ni kudai tu, hawajui na wala hawana uwezo wa kuchangia muungano.Tukichambua sana pengine ni zaidi ya bilioni 500 wanazopata.

Kuna mfano mmoja mzuri sana, wakati kifaa cha umeme kilipoharibika ZNZ(chumbe) kwa vile ZNZ wanshirika lao la umeme, waliachiwa jukumu hilo na serikali ya muungano ikaa kimya! Kifaa kiligharimu bilioni 5, ZNZ hawakuwa nazo hadi Nahodha wakati akiwa waziri kiongozi alipoomba hazina. Iliandikwa na magazeti. Maana yake ni kuwa bilioni 5 nje ya makusanyo ya bilioni 7 kwa mwezi serikali ilishakwama.

Sijui watu wanajua kuwa wabunge 50 wa ZNZ wanahudumiwa na pesa ya Mtanganyika akiwemo Ismail Jussa.
Hiyo tume ya katiba yenye wajumbe 50/50 ZNZ haitoi hata senti tano na Ally Salehe naye yumo, akitoka nje anapiga mdomo.
Hivi unajisifiaje kuwa umeweza kuwa na wajumbe 50/50 wanaolishwa, kuvalishwa na hata kupewa maliwato kwa mchango '0'.
Nilimsikia mbunge kutoka ZNZ akidai pesa za Rada, nilishindwa kumuelewa kuwa ni ufahamu, kiburi au ujuha tu!

Nyani Ngabu, hayo matumizi ya kwaida ni pesa zao za matibabu, kusomesha watoto n.k. Mathalani Gharibu Bilal akitaka kukutana na UAMSHO pesa za kuwasafirisha, malazi, pilau na vitafunio ni hizo bilioni 4.
Kwa ufupi matumizi ya kawaida ni pesa zao.

Kwasababu ya 'free ride' ndiyo maana wamekomalia mkataba, serikali 3 au mahusiano maalumu. Wanajua nje ya hayo ni maumivu. Sasa ujuha ni pale wanapodai serikali ya Tanganyika. Masikini hawajui kuwa serikali ya Tanganyika itauliza;
Mnachangia nini katika muungano au mkataba! Kinyume chake kwa vile ni 50/50 ZNZ isipotoa 50 hilo jambo ni 'off the table''

Hakuna serikali 3, Mkataba au nini. Tukutane EAC

LET ZNZ GO! ASAP!
 
Mkuu Joka Kuu ukisoma watu kama hawa unaweza kujua tumeungana na watu wa aina gani.
Mtumbatu kwa taarifa naona wewe ni mgeni hapa jamvini lakini tutakupa elimu ili ukirudi Mzalendo.net uwaeleze.

Tumesahasema Tanganyika ikirudi pesa za bure kama hizo bilioni 32 hazitapatikana. Unaposema unachukua chako ni kipi hicho maana unachangia sifuri (zero) sasa unachukua kipi ? Lakini si hicho tu, mishahara ya Wabunge, Wawakilishi na Viongozi wote inatoka hazina Dar es Salaam, kwahiyo mnachukua cha kutosha na zaidi wala si chenu.

Unajua Zanzibar ni nchi isiyo na jeshi wala polisi. Sasa unaposema Tanganyika inawahitaji, ni kwa lipi? Si unajaua Rais anachaguliwa Dodoma, na anapelelekwa na Polisi na kulindwa na jeshi lisilo za Znz, sasa mpini upi mumekamata.
Salimin Amour alijaribu, baada ya hapo imebaki hadithi na tunasikia akienda India tu! Muulize Raza ilikuwaje!

Anyway, Mkuu Joka kuu ukisoma Raia mwema utakutana na habari ya yule msemaji wa Wapemba na Sultani, Ahmed Rajabu. Anasema ZNZ sasa inajua haki na inadai haki. Haki ni hii ya kupewa mishahara watu wakicheza bao, haki ni hii ya kuwasha umeme wasiolipia, haki ni hii ya kupewa bilioni zisizojulikana ni za nini?

Ukimsoma huyu bwana Mtumbatu, halafu uksaoma maoni ya Ahmed Rajabu utajua MZNZ ni mtu wa aina na kiwango gani.

Haya yapo mwisho, Hotuba ya Tundu Lissu imeeleza vizuri tu, sisi tuna kazi moja tu, kuuleza umma kuwa hatuna sababu za kuwa na ZNZ, hatufaidi chochote wala lolote, sasa ni wakati wa kusema LET ZNZ GO!

Akina Lisu wametusikia na wanatuelewa, najua Nape na akina Kigwangalla wote wataona udhalimu huu, nao uzalendo wa nchi yao utasimama. Bila kufanya jambo hawa WZNZ wataomba tuwapeleke makopo ya maji uani!

Hakuna Mkataba
Hakuna serikali 3

Tukautane EAC, LET ZNZ GO!

ha hah hah, naona sasa uko pamoja na wana wa Uamsho...tukutane sio EAC , mimi naona tukutane UN, Kila mmoja akiwa na kiti chake..
 
Bila shaka makutano yetu ni UN wala sio EAC sisi tutaungana na visiwa vengine - The indian Ocean alliance. hahahahahh, hiyo EAc KAENI NAYO MAANA WOTE NI WEZI WAKUBWA.
 
hakuna kunyonya hapa tunachukua kilicho chetu katika muungano tatizo lenu watanganyika hamjui lipi la muungano lipi si la muungano na kwa ujinga wenu kuingiza yenu yote katika muungano, madhali mmeingiza yote katika muungano yote yetu sote, hapa tunachukua chetu sawa? hamtaki rudisheni Tanganyika yenu? tuanze upya na madeni yote ya kwenu maana nyie ndio mlio kopo kwa wazungu sisi tulisimama kwa miguu yetu muda wote.

tutabakiza muungano kwa kuwa tumezaa na dada zenu la sivyo mikufutuka kurudusha Tanganyika tungesema basi, nahata hivyo tuone hiyo MoU ya kurudishwa tanganyika maana tuna turufu siku hizi kama haina maslhi na sisi tanganyika hairudi, unabisha jaribuni kulianzisha mtaona nini tutawalipa, nyie hamna ujanja kwetu sisi ndio tuna mpini kwenye muungano maana hatukuingia kichwa kichwa na hatuwahitaji, nini nyinyi ndio mnatuhitaji sisi ndio mmekuwa ng'ang'anizi kama dada powa.

"hapa mimi ni mpita njia tu, no comment!"
 
Mimi naona tunawatreat wazanzibari kama koloni letu? watu wenye kutoa mipesa kama hivyo kwa nchi nyingine mara nyingi huwa ni koloni kwasababu wanajuwa watakavyozirudisha.

Zanzibar ni kisiwa kilichokuwa kinamilikiwa na Sultan ambaye alikuwa akiwamwagia mipesa tu bila kazi.

Pesa zote hizo?is it because of "oil"?Otherwise what is it for?
 
Naona mnapiga kelele eti Zanzibar GO! (lakini deep inside mnataka kuimeza zanzibar)

Kama kweli mwambieni JK na wabunge wenu waseme hayo kama ambavyo Uamsho imesema once..

Naona makelele za Watanganyika JF lakini nje ya hapo watiifu

Muungano haufi ila Muundo wa serikali tatu unawekwe kama walivyopendekeza CUF, Nyalali etc..

Vinginevyo sijaona mwenye guts ya kusoma sitaki muungano Tanganyika wote wanatishia nyau..
 
Bila shaka makutano yetu ni UN wala sio EAC sisi tutaungana na visiwa vengine - The indian Ocean alliance. hahahahahh, hiyo EAc KAENI NAYO MAANA WOTE NI WEZI WAKUBWA.

Wanataka kuwatisha wazanzibar viongozi wenye kula kula muungano ili waseme "tunataka serikali moja" wewe hujawagundua hawa...

Hawana guts za kuandaa hata kongamano kujadili muungano..hao ndi watanganyika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom