Nimekusudia kuuliza hili swali kwani huyu mtu kila uteuzi yeye anasema ni mzuri na mwisho wake utasikia oooh watu aliochagua Rais wanamuangusha, nilimfuatilia sana yeye kila leo kitu kinachofanywa na CCM au serikali yake lazima aseme ni uamuzi mzuri sasa nashindwa kumuelewa, huu U Dr wake kaupata wapi??Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi anashindwa kusoma alama za nyakati mapema amekalia tu kusifu,sasa hapa huu mzigo wa baraza la Mawaziri kutoka 50 mpaka 55 bado tu anasema ni uteuzi mzuri ama kweli hawa Wasomi wa Bongo ni vituko vituko tu.
Hivi inakuwaje waandishi wa habari wamfuate kupata maoni mtu kama huyu anayeitwa Benson Bana wakati kuna wasomi wazuri tu zaidi yake huyu mtu anashindwa hata na mwanafunzi wake wa mwaka wa kwanza ambaye anachukua kozi ya Uongozi ifike wakati waandishi wa habari wajaribu kufuata watu wengine na sio huyu Bana kila siku.
Pia ningeomba tu ushauri kwa mustakabali wa Taifa letu hebu tuweke mambo ya siasa nje kidogo na kulinda ajira maake nimeona watu wengi sana especially watu wa Dar es Salaam ni wanafiki sana inapofika wakati wa kulinda maslahi ya Taifa wako radhi wakubali madudu ili walinde maslahi yao wakati hali hii ndo inarudisha maendeleo ya Taifa letu nasema hivyo kwa kuwa hawa wanaojiita wasomi wanaoishi Dar es Salaam wako hivyo wakati wanajisahua kuwa kama watapigania maslahi ya Taifa hata hao wanyewe watapunguza ule utegemezi ambao familia zao nyingi zinawategemea wao wamekalia kusifu kila kitu kinachofanywa na Serikali.
Sasa kinachotakiwa hapa kama kweli wengi wao wanasifu uteuzi huu wa mawaziri basi wakomae na kushurutisha wale wote waliofukuzwa kama Mawaziri na ambao wataendelea kufukuzwa basi wafikishwe mahakamani na sio aaah baraza limekaa vizuri.