Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Mbinu gani za kupima dunia? Zina makosa gani?

Yani hayo makosa yawe kutoka kusema dunia ina miaka bilioni 4.5 na ukweli uwe miaka 6,000 ?

Hebu tupe hizo specifics.

Huyo jama aliyekuletea hiyo documentary kaileta kwa ajenda malum, ya Ukristo. Unategemea atakuwa objective?

Jamani hizi documentaries nyingine muwe mnaangalia nani kazi sponsor kabla ya kuzichukulia seriously.

The Truth Project

Who is Del Tackett?

Dr. Del Tackett is former president of the Focus on the Family Institute and a former Senior Vice President of Focus on the Family. He is also the creator of Focus on the Family's The Truth Project—a nationwide initiative designed to bring the Christian worldview to the body of Christ.
 
Naweka meza na kiti nitaisoma vizuri baadae.
Nimeona kuna Mungu wa Kafrika hapa.
 
hapo hpo inasema " mungu kaumba mbingu 7,na ardhi" ajabu", waumini wake wanakazania kusema mbingu niile rangi ya blue ya jua iliyopo angani
 
huwa hajibu maswali "" zaidi ya kukwepa na kutoa " hayo " mahekaya "", yasiyo " na mantik""
 
Naongezea.
Wakristo nawaombeni muwe mnapunguza jazba inapokuja hoja ya Qur an na mafundisho yake, msiwe mnafyatua tu nakuona hiki kitabu hakina maana yoyote sawa tu na vitabu vyengine vya hadithi za kitoto, maana namna unavyokiporomoa ubora hata hadithi za juzi kutoka Shaban Robert unaonekana inazikweza kulinganisha na Qur an, la hasha hivyo sivyo kabisa.

Nawaombeni kabla ya kuporomoa zarau hebu katafuteni tafsiri ya Qur an halafu muisome anhalau ile sura moja na mzingatie haswa kwa umakini mliojaaliwa na uyo Jehova wenu halafu ndio mje muanze kutoa hizo zarau zenu, mnajua mnatia kinyaa mnapokua mnatoa mijineno mibaya mibaya dhidi ya Qur an, wakati hamfahamu chochote hata katika hiyo biblia yenu hamkai mkaisoma kwa mazingatio. Wengi wenu mnasomewa mnapokuwa kanisani tu, na dini na imani mlonayo inakuwa ya kishabi shabiki zaidi dhidi ya uislamu na sio kimsimamo zaidi ili kuimarisha matendo yenu kiimani.

TANBIHI;

KABLA HAMJAA IPONDA QUR AN ISOMENI KWANZA, MBONA WAISLAMU HAWABWABWAJI BWABWAJI MIJINENO YA CHUKI DHIDI YA BIBLE. MNAKERA NA MNATIA KICHEFUCHEFU NA DHARAU ZENU.

Wanachoamini waislamu kuwa Bible ni maneno ya Mungu lakini tayari imeshaharibiwa na wanaadamu kwa kuwekewe mambo mengine ambayo hayakuwepo hapo kabla. Naomba kuwasilisha.
 
Asante sana nyabinghi
 


Ahaaaa kumbe mnajua biblia ni maneno ya kweli ya Mungu yenye kuleta uzima wa milele..
Kama mnaamini biblia kwanini hamuitumia msikitini?(Najua hua mnakaa nazo biblia na hua mnasoma miujiza ya Ya Yesu sio Issa)

Ndo muone uwezo wenu wa fikra ni mdogo kuliko mchanga wa bahari. Si hapo juu umesema kua ninyi mnaamini katika biblia? Iweje unasema imeharibiwa? Na nani? Unaweza kuthibitisha?
Hebu niambie Zile ngano za Quran zilitoma wapi?
 
Huwezi kudiscredit documentary kwasababu aliyeiandaa ana mrengo fulani bali kwa kuangalia namna ilivyoandaliwa. zamani wanasayansi walipima dunia na kusema ina miaka 20ml, wakaja hadi 400ml. Leo wanasema ina 4.5bln years. Pia njia mbalimbali za kupima umri wa dunia za radiometric zikitumika zinaipa dunia umri wa kuanzia miaka chini ya miaka 10,000 hadi 4.5bln. Njia hizi haziaminiki kabisa na zinaweza kutoa error kubwa sana, ya mabilioni ya miaka.
 
Wee mbona Muongo we binti wewe. Kwanini mnakaririshana uongo hivo. Yaan kabla ya bibaadam walikuwepo majini?
Japo sina maana ya kukashifu ndiyo maana kuna vitu watu vinatupa mkanganyiko sanaa ukisikiliza chimbuko la mwanadamu na maendeleo yake baada ya uumbaji katika muktadha wa hizi dini mbili mambo huwa tofauti kabisa hii ya lslamic huwa nashindwa kuielewa kabisa huwa hainipi mwanga sahihi ndiyo inafika hatua watu kuziona hizi dini zina TATIZO.
 
mambo ya bilal alimfundisha nini ni thread in its own right
kabla hujasema kuhusu tafiti kwa GRAND MASTER DR.Ben,kwanza katafiti historia yake na ubobezi wake


Sasa kama jambo dogo kama hilo halijui,amebobea katika nini au nimjue ili iweje na atanisaidia nini zaidi chif ?

Unajua kuna watu wa kuwafuatilia watu ambao daima wamesimama katika misingi ya elimu na ukweli mtupu.
 


Tatizo liko wapi ? Kwani uislamu unasemaje kuhusu chimbuko la mwanadamu ?
 
Hapa napo ndipo shida nyingine inapokuja hasa. Ni kwa namna gani Dini hii iseme majini ni malaika walioasi ambao shetani aliwashawishi katika vita vilivyo tokea mbinguni akafukuzwa nao. Lakini wewe unadai Majini wapo wema na waovu? Hii kitu imekaaje?
 
Na hichi ndicho kitu ambacho mimi nakikataa siku zote hasa tunapoanza kushutumiana kwa vitu ambavyo wote hatuelewi uhalisia wake kamili. Ila nina swali dogo sana kwako Unadhani kwanini Biblia ilichakachuliwa na inazidi kufanywa hivyo kadiri siku zinavyozidi kwenda kwanini hii kitu isifanyiwe baadhi ya vitabu vingine vya kidini? Ebu Tuamkeni tuache kuwa wadini tuuu
 
Tatizo liko wapi ? Kwani uislamu unasemaje kuhusu chimbuko la mwanadamu ?
Ni kweli unazungumzia kuanzia kwa Adam na Hawa ni Sawa kabisa na kinachozungumzwa na Biblia. Ukakasi unapoanzia ni hapo swala la majini na malaika na kwamba kati ya binadamu na majini nani aliyeanza kuishi hapa duniani. Na ndiyo maana kuna Wakuu humu huwa mnashindwa kuwapa majibu straight yakueleweka maana tayari contradictions zinaanzia hapo.
 


Ngoja nikupe faida za kielimu. Kwanza ujue kabisa hao ambao unawasemea kwamba huwa tunashindwa kuwapa majibu sababu hawataki tujadili mambo haya kielimu.

Katika mijadala ya kielimu au mambo ya kielimu,kuna wakati huwa kuna kuwa na kauli zaidi ya moja,na katika kauli hizo iko au ipo kauli yenye nguvu. Na kauli yenye nguvu ndio huchukuliwa na kuifanya hoja yenye nguvu.

Historia ya uumbwaji wa mbingu na ardhiiko wazi kwa yeyote mwenye kutaka kuijua.

Na kauli yenye nguvu ni kuwa hapakuwa na kiumbe chochte kilicho ishi haya duniani kabla ya Adamu.
 
Sikupingi kabisa ila tu kwa kuwa tukiamua kuitafuta hiyo historia kupitia vitabu vyetu vya kidini ambavyo kwa bahati mbaya zaidi kuanzia hapo hapo katika huo mwanzo vinaanza kupishana mambo lukuki.

Na kama ulivyosema kuhusu Elimu kumbuka hiyo elimu ina maana pana sana na ndiyo maana origin ya mwanadamu utaikuta katika kila nyanja kupitia hiyo elimu. Sasa jaribu kuruhusu kujifunza kitu kipya usiwe mdini tu ruhusu kupata vitu vipya ufanye tathmini.
 


Tatizo huwezi kupata ukweli halisi na ukamilifu wa mambo nje ya dini.

Origin ya dini ndio haieleweki kabisa sababu njia wazitumiazo wao zimejengeka katika dhana,wasi wasi na mashaka tele.
 
Mfano Mimi huwezi kuniambia kuna majini wazuri na wabaya au malaika walitumwa kuja kuangamiza majini duniani wakakuta kajini kadogo ndiyo baadae akaja kuwa shetani kwa kushindwa kumsujudu mwanadamu. Upande wa pili shetani alikuwa malaika mtakatifu na akahasi na alifukuzwa yeye na malaika alioshawishi mbinguni. Ndiyo kuja kumkuta Adam na Hawa na kuwadanganya. Ndiyo maana nasema hizi contradictions ndiyo zinapelekea kuleta ugumu wa kuamini mwanzo wa Adam na hawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…