SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,808
Batilda amezaliwa 19/10/1965 wakti Ruto 21/12/1966 imekaaje hapo? wewe waweza kumsalimia Shikamoo mdogo wako? mama Confidence ZERO
Daah! Sijui ndo kukosa
kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya
saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono
Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka
hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea
kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
acha maneno ya umbea,nikirudi kwa balozi Batlida sioni tatizo lolote kubwa,mbona baadhi ya wazee wa kichagga huwa wanawaamkia watoto wao shikamoo mtoto!!!Mmeshazoea kutukanwa na kudhalilishwa na Mshumbusi pale Kinondoni basi mnajua kila mwanamke wa kiTanzania ni wa namna hiyo.
acha maneno ya umbea,nikirudi kwa balozi batlida sioni tatizo lolote kubwa,mbona baadhi ya wazee wa kichagga huwa wanawaamkia watoto wao shikamoo mtoto!!!
Batilda amezaliwa 19/10/1965 wakti Ruto 21/12/1966 imekaaje hapo? wewe waweza kumsalimia Shikamoo mdogo wako? mama Confidence ZERO
Batilda amezaliwa 19/10/1965 wakti Ruto 21/12/1966 imekaaje hapo? wewe waweza kumsalimia Shikamoo mdogo wako? mama Confidence ZERO
Batilda na Ruto wamepishana mwaka mmoja, ingawa Batilda ni mkubwa, ila kwa heshima ya kiafrika, Mwanamke ataamkia shikamoo kwa mtu yoyote alkiyemzidi umri au cheo!, hivyo Dr. Batild did the right thing kumwamkia Ruto Shikamoo!.Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
Hiyo ni matokeo ya mfumo dume wa kiafrika tuliorithi kutoka kwa mababu zetu, mwanamke regardless of her age anampa 'shikamoo' mwanaume! Sisi kwa mila na desturi za mfumo dume wa kiafrika si ajabu mama kikongwe wa 65yrs akampa 'shikamoo' kijana wa 18yrs as long as kuna kaundugu like huyo kikongwe anamwita kijana 'baba / babu'!!!Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
Batilda na Ruto wamepishana mwaka mmoja, ingawa Batilda ni mkubwa, ila kwa heshima ya kiafrika, Mwanamke ataamkia shikamoo kwa mtu yoyote alkiyemzidi umri au cheo!, hivyo Dr. Batild did the right thing kumwamkia Ruto Shikamoo!.
Hata ikitokea mke ni mkubwa kuliko mume, bado atamwamkia shikamoo kicheo cha ndoa tuu!. Mimi nina baba zangu wadogo, nawaamkia wake zao shikamoo, huku nimewazidi umri kwa hoja mke wa baba ni mama yako, regardless ana umri gani!.
Siku ukipata fursa, hudhuria ziara yoyote ya JK, sikilizia shikamoo anazozipata kwa watu ambao kwa macho tuu utawajua wamemzidi umri!, shikamoo hizo ni za heshima kwa mkuu wa nchi, na sio za umri!.
Dr. Batilda ni mama wa heshima sana ya kiafrika na kidini, sikumbuki kuwahi kumuona bila hijab!, mimi ni wa late 60's, nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, sikumwamkia nikimdhania ni wa 70's, alikuwa na mwalimu wangu fulani wa Tambaza tukimwita Miss Juma!, ndipo mwalimu akaniambia "nyie watoto siku hizi mnajidai mmekuwa, mwamkie huyu shikamoo, huyo ni mama yako!, nilipigundua ni wa early 60's sasa ndio natoa shikamoo ya heshima ya umri!.
NB!, Shikamoo ni salam ya kitumwa ikimaanisha niko chini ya miguu yako!. Wakoloni Waarabu nao wametifanya vibaya, kama valivyotufanya wazungu na kasumba ya kizungu!.
Pasco.
Mawazo kama ua wakina Pasco ni mawazo yenye lengo la kuwafanya wanawake waendelee kuwa inferior kwa wanaume. Anasema ni sheria ya kiafrika kuamkia; sijui huyu bwana Africa anaidefine vipi?
No sio dharau, bali ni kutokana na ile traditional position ya mwanamke katika "yale" siku zote huwa chini!, hii mitindo ya kisasa ya wao kuja juu ni katika manjonjo tuu!, ndio maana hata Mungu, ameiweka pale chini!, katika uumbaji, angeweza tuu kuiweka pale kwenye kitovu, ili "somo" lifanyike while standing on equal basis!, lakini kaiweka pale, ili mmoja awe juu na mwingine awe chini!.Pasco anajua afrika ni kanda ya ziwa ambaopo kwa wasukuma mwanamke sikuzote ni mdogo tu naomba tabia hiyo nyani nao wameicopy na kuipaste nyani wana mzalaua sana mwana mke bila kujari umri lakini akimuona hata mtoto wakiume miaka 3 heshima debe...
Batilda amezaliwa 19/10/1965 wakti Ruto 21/12/1966 imekaaje hapo? wewe waweza kumsalimia Shikamoo mdogo wako? mama Confidence ZERO