Dr. Bashiru, kama unajua demokrasia ni maridhiano ndani ya chama, mbona mnaingilia uchaguzi wa Mkiti CHADEMA

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
"Wapo watakaosema tunaua demokrasia ndani ya chama, demokrasia ni maridhiano tukishakubaliana ndani ya chama, wewe endelea na mambo yako kwenye chama chako,” -Dk Bashiru Ally, Katibu Mkuu CCM.

"Kuna watu watasema nampigia kampeni (Magufuli) hapana, yeyote na aje ila ajue kwamba kiti kimekaliwa na aliyekalia ameenea. Ole wake mtu anayetaka mlango wa nyuma, hatutaki fujo kwenye chama chetu tunataka utulivu."

Ameyasema hayo leo akiwa kwenye ziara Mwanza CCM Kirumba.
 
Kwa akili kama hizi zako, acha tu ccm iendelee kutuburuza huku Mbowe akiendelea kujipigia mihela.
 
Kwa akili kama hizi zako, acha tu ccm iendelee kutuburuza huku Mbowe akiendelea kujipigia mihela.
Binti mbona unachotwa na vimaneno vya kijiweni?
Wewe ndio unaweza kujua Mbowe anajipigia mihela kuliko walio ndani ya Chadema?
Nenda kapike chakula cha mchana watoto wale, hayo mengine yako juu ya uwezo wako
 
Hakuna mwanaCCM anayeingilia uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA ambao haujawahi kufanywa wala hautegemewi kufanyika kwa sababu kuna hisia aliyepo sasa atamrithisha mmoja wa wanafamilia
 
Mfano tu, Kumtongozea mwanamme mwenzako mwanamke kazi sana, ndio kama demokrasia ya afrika ilivyo.. Ngumu mno ku practice
 
Back
Top Bottom