olinkobole j
Senior Member
- Aug 24, 2019
- 121
- 65
CCM jiamini tu Toa fomu mshindane na upinzani kwa hojaTAARIFA
01 Novemba, 2019
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Asubuhi ya leo, ametembelewa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es salaam.
Viongozi hao wa Baraza la Wawakilishi pamoja na mambo mengine, wamempongeza Katibu Mkuu kwa kuendelea kufanya kazi ya kukiimarisha Chama na hasa kusimamia misingi ya haki na usawa katika kipindi hiki cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa upande wa Tanzania Bara, ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 24 Novemba, Mwaka huu.
Aidha, akizungumza na viongozi hao, Dkt. Bashiru amewahakikishia kuwa, CCM imejipanga kuhakikisha inashinda kwa kishindo na ushindi wa awamu hii utakuwa ni ushindi wa kihistoria katika Chama Chetu.
"Hakuna wa kuizuia CCM kushinda kwa kishindo awamu hii, Chama kimetimiza wajibu wake na wananchi wanaona mafanikio makubwa yanayoendelea kupatikana kupitia serikali ya awamu ya tano, hivyo ushindi wa kishindo ni hakika." Dkt. Bashiru
Wajumbe hao kutoka Baraza la Wawakilishi ni Ndg. Rashid Shamsi Jimbo la Magomeni Zanzibar, Shaibu Ali Said (Chonga), Mtumwa Yusuph (Bumbwini), Masoud Masoud (Bububu), Bihindi Khamis Mkoa wa Kaskazini Pemba (viti maalum).
Imetolewa na;
CHAMA CHA MAPINDUZI
OFISI NDOGO LUMUMBA. View attachment 1250990
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji52]huyu ananitisha anafikiria ataniwezaNiwatafsilie hapo, Nyani msiotahiliwa kutoka mtaa wa lumumba, na maoni yenu ya kijuha!! Poleni sana.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Akawatishe anaowafanya waende haja. ***** zake.
Huyo ni biriani wa lumumba FCkwamba utamfanya nini wewe mwanamke wa lumumba? Hebu weka simu chini kampikie mumewe jikoni huko.
Ccm inashindana na nani?TAARIFA
01 Novemba, 2019
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Asubuhi ya leo, ametembelewa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es salaam.
Viongozi hao wa Baraza la Wawakilishi pamoja na mambo mengine, wamempongeza Katibu Mkuu kwa kuendelea kufanya kazi ya kukiimarisha Chama na hasa kusimamia misingi ya haki na usawa katika kipindi hiki cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa upande wa Tanzania Bara, ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 24 Novemba, Mwaka huu.
Aidha, akizungumza na viongozi hao, Dkt. Bashiru amewahakikishia kuwa, CCM imejipanga kuhakikisha inashinda kwa kishindo na ushindi wa awamu hii utakuwa ni ushindi wa kihistoria katika Chama Chetu.
"Hakuna wa kuizuia CCM kushinda kwa kishindo awamu hii, Chama kimetimiza wajibu wake na wananchi wanaona mafanikio makubwa yanayoendelea kupatikana kupitia serikali ya awamu ya tano, hivyo ushindi wa kishindo ni hakika." Dkt. Bashiru
Wajumbe hao kutoka Baraza la Wawakilishi ni Ndg. Rashid Shamsi Jimbo la Magomeni Zanzibar, Shaibu Ali Said (Chonga), Mtumwa Yusuph (Bumbwini), Masoud Masoud (Bububu), Bihindi Khamis Mkoa wa Kaskazini Pemba (viti maalum).
Imetolewa na;
CHAMA CHA MAPINDUZI
OFISI NDOGO LUMUMBA. View attachment 1250990
Sawa josephine mshumbusiSo tu upinzani haupo bali UKawa haupo,Dr Slaa hayupo na Lowasa hayupo ambao ndio walikuwa main factor ya ushindi wao kwa miaka yote
Yaa,ni sawa maana mpinzani kafungwa mkono mmoja halafu unambiwa upigane nae.He is very right.
Maana kwa sasa upinzani haupo.
kashindeni ila mlishalaaniwa nchi ina kila kitu ila mabeberu weusi tuko nao kila uchao.Ccm tunaenda kuandika historia ,tunaenda kushinda kwa 99.9%
NDUMBA TUPU ZIMEJAA HAPOTAARIFA
01 Novemba, 2019
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Asubuhi ya leo, ametembelewa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es salaam.
Viongozi hao wa Baraza la Wawakilishi pamoja na mambo mengine, wamempongeza Katibu Mkuu kwa kuendelea kufanya kazi ya kukiimarisha Chama na hasa kusimamia misingi ya haki na usawa katika kipindi hiki cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa upande wa Tanzania Bara, ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 24 Novemba, Mwaka huu.
Aidha, akizungumza na viongozi hao, Dkt. Bashiru amewahakikishia kuwa, CCM imejipanga kuhakikisha inashinda kwa kishindo na ushindi wa awamu hii utakuwa ni ushindi wa kihistoria katika Chama Chetu.
"Hakuna wa kuizuia CCM kushinda kwa kishindo awamu hii, Chama kimetimiza wajibu wake na wananchi wanaona mafanikio makubwa yanayoendelea kupatikana kupitia serikali ya awamu ya tano, hivyo ushindi wa kishindo ni hakika." Dkt. Bashiru
Wajumbe hao kutoka Baraza la Wawakilishi ni Ndg. Rashid Shamsi Jimbo la Magomeni Zanzibar, Shaibu Ali Said (Chonga), Mtumwa Yusuph (Bumbwini), Masoud Masoud (Bububu), Bihindi Khamis Mkoa wa Kaskazini Pemba (viti maalum).
Imetolewa na;
CHAMA CHA MAPINDUZI
OFISI NDOGO LUMUMBA. View attachment 1250990
Acha kuvuta Bangi kisha kujidanganya, upinzani ungekuwa haupo mngehangaika kuwanyima form? Kuwapiga mapanga kuwakata kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbaliHe is very right.
Maana kwa sasa upinzani haupo.
TAARIFA