Dr. Bashiru: CCM itashinda kwa kishindo

Kwenye Biblia Takatifu kuna maneno yanasema: UKITAKA KUTOA SADAKA YAKO MADHABAHUNI NA UNA NENO NA NDUGU YAKO, USIITOE IACHE HAPO NENDA UPATANE NA NDUGU YAKO KISHA NJOO UITOE HIYO SADAKA , bila kufanya hivyo Mungu hapokei hiyo SADAKA YAKO!!
Sio maneno ya wapinzani ni maneno katika Biblia! Sasa tujitafakari wapinzani hawajaombwa suluhu wana neno na wana CCM nyie Bashiru, Mwijage, Kitwanga, Musimba , Makonda, Warioba, Makamba, nk, nk, etc, etc!!!!
 
Mashetani hawa maviviem hujuma wanazowafanyia wapinzani ni aibu kubwa kwa taifa na dunia kwa ujumla.
 
Ni uwendawazimu kwa CCM kuongelea ushindi wakati wasimamizi wa uchaguzi wanatumika kulazimisha wagombea wa CCM kupita bila kupingwa.

Bashiru anatakiwa aone aibu kuzungumzia ushindi huku wapinzani wake wakinyimwa fomu za uteuzi. Ni uwendawazimu mkubwa ambao mwenye akili na hekima, hata kama ni kidogo sana, huwezi kujivunia ujuha wa namna hiyo.

Afadhali angetamka kuwa safari hii kwa mara ya kwanza tutawatangaza wagombea wengi wa CCM kuwa viongozi hata bila ya kupigiwa kura kwa idadi ambayo haijawahi kutokea.
 
Ni kweli kwani Upinzani umezuiliwa kufanya siasa bali kushinda Mahakamani CCM ni kuzungum Nchi nzima kufanya siasa
 
Hebu wapeni wapinzani form; na acheni kutumia Jeshi la Police na watendaji wa umma vibaya... hivi hamuoni aibu kila uchaguzi hadi mlalamikiwe? Tushawachoka sasa!!
 
Kama walivyoshinda UANDIKISHAJI WAPIGA KURA.

Hahahaha...Only in Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…