johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,971
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuimarika kwa demokrasia siyo lazima kuwe na vyama vingi na amotolea mfano wa Cameroon ambayo ina zaidi ya vyama 300 vya siasa. Dr Bashiru anasema Waitara na Kalanga wamepitishwa kugombea kwa sababu walikosa wapinzani katika majimbo yao na si kwamba wamependelewa.
Chanzo: Clouds 360!
Chanzo: Clouds 360!