Azaveli Lwaitama ni bora angeamua kukataa kuhojiwa kuliko kutamka vitu ambavyo mdomo wake unalitamka lakini moyo wake hauliamini. Muda si mrefu atapoteza heshima aliyojijengea kwenye jamii ya wasomi.
Hapo kwenye rangi... umenena vema.. will raise againLabda mkuu si unakumbuka kulikuwa na nchi inaitwa Congo? lakini wakaja wahuni kama hawa wa hapa kwetu wakaipachika jina la Zaire! je Zaire bado ipo au wananchi wamerudisha jina lao la Congo?
Tusiwe wavivu wa kukumbuka, maana ukitaka kumtawala mtu milele mnyime Historia yake. its matter of time but Tanganyika will rise again.
Tanganyika hakuna, imewekwa kwenye kichupa na kuwa delisted!!!
Kwani marekani insherkea uhuru wake kwakuanzia lini??maana baada ya uhuru wake kuliunganika nchi nyingi tu nazilizokuwa huru na sasa zilifuta uhuru wao nakuunganisha uhuru wanchi waliyo ungana nayo!!sasa iweje tukumbuke Tanganyika wakati tulisha sema basi na sasa tunamzaa mtoto tanzania!
Tanganyika iliishia 1964, sasa miaka inaendelea kuhesabiwa ya nini? Ni sawa na kuendelea kusherehekea birthday ya marehemu!Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika au sivyo?
watu wanatengeneza vitu visipo.kweli Tanzania bar imezaliwa lini.?
Hapa ni usanii tu
Sasa hapa nimechanganyikiwa, hivi tunasherehekea nini sasa? Mbona mimi, sijui nilitaka niseme nini, nikumbusheni!
Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika au sivyo?
Kikwete na serikal yake jaman.,shda tu!
Na wewe ni sehemu ya wapotoshaji, mwanzo nchi yetu ilikuwa inaitwa German East Africa, na baada ya Waingereza kuichukuwa na kuwa koloni lao ndio wakabadili jina na kuiita Tanganyika.Mwanzo hakukuwa na tanganyika wala tanzania,tanganyika imekuja na wajermani around 1919. Hadi kufikia mwaka 1964 ni miaka 45,tanzania imezaliwa mwaka 1964 na kesho tar 9 dec 2011 itatimiza miaka 47 jeee miaka hamsini 50 tunayoadhimisha ni ya nini