Dr. Asha Rose Migiro: The next president?

Hivi huyu Rose hata Ubunge anaweza...!? Hivi ni mbunge wa jimbo au kuteuliwa...!!? Maana ni makapi kabisa...!!!
 
Mtake msitake, hii nchi kuongozwa na mwanamke BADO sana. Yaani BADO! Hamna bifu hapa, ila masuala nyeti hawa viumbe hawawezi.
Migiro anappteza muda.
Rais wa kwanza kwa kike hapa Tz bibi na babu zake bado hawajazaliwa.
 
no thanks we don't want women to bee prezdaa by this tym we have many things to run away dola sasa yaelekea 2500 try next tym
 
Mtake msitake, hii nchi kupngozwa ma mwanamke BADO sana. Yaani BADO! Hamna bifu hapa, ila masuala nyeti hawa viumbe hawawezi.
Migiro anappteza muda.
Rais wa kwanza kwa kike hapa Tz bibi ma babu zake bado hawajazaliwa.

Hii kitu wamaasai kwao ni dharau kubwa sana.
 
akipata urais anaweza kuwa kama Jois banda wa malawi alivotusumbua na yale maji ya Nyasa
 
Unaposema mda umefka wa kuongozwa na mwanmke unamaanisha nn? hakna kitu kama hicho hao ni wasaidiz tu na sio kuongoza!
 

EASY TO BE REMOTED "" na le family that was the most wanted matter to celebrate forever ever""
 
Sito shangaa kama ccm kumchagua huyo mama kwa zengwe kama la mama makinda, lakini rais wa nchi ni Dr slaa
 
Watanzania hatujali kama Raisi ni mwanamme au mwanamke,tunachojali ni mtu anaweza ku-deliver.Kama ni mwanamke au mwanamme ni concern ya wale wenye interest ya uume au uke,na tunawajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…