VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Mnamo tarehe 9/7/2016,Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Mhadhiri Mwandamizi wa sheria-UDSM ,Dr. Asha-Rose Migiro amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.
Dr. Migiro amezaliwa tarehe 9/7/1956. Kuanzia tarehe 9 mwezi huu amefikisha umri wa miaka 60.Kwasasa,bado ni Balozi wetu huko Uingereza. Amekuwa na utumishi wa kutukuka ndani na nje ya Tanzania.Hongera dada Dr. Asha-Rose Migiro!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)