Summary.Mbona unatuma.video,tuma.maelezo nisome
Wengine kusikia mpk.hearing aid na hapa haipo..
Naomba weka summary ya maneno
HahahahaTakbih !!!
Huyu, atakuwa ndugu wa mwandishi wa kile kitabu, cha 'AYA ZA SHETANI'! Kwani, wanafanana kishetani shetani. Ni daktari wa nini huyu? Gongo?Daaah!! This outrageous!
Jamaa kaniacha sina la kuongea kwa kweli, alikuwa hajui kama anarekodiwa!?
Na kama alijua nia yake lilkuwa ni nin!? Maana kamtukana Seif pia
,Au alilewa!?
Maswali ni mengi ila majib anayo mwenyewe.
*wenye dini yenu msipanick sana watu kama hawa huwa wana kuepo sku zote sema huyu kaenda mbali na kajirekod kabsa.
Huyu ni whistle blower tatizo lake nini? Tumia japo akili kidogo.Sheria ya Makosa ya Mtandao inakuhusu kwa kuisambaza
inasikitisha na kuhuzunisha,,dr huyu kumtusi mtume.
nimeshindwa kuandika,,tazama mwenyewe
Sijakuona siku nyingi aisee, uko njema?!!Mitusi mikubwa mikubwa alafu na yeye ni mjahidina...