DPP Sylvester Mwakitalu anaiabisha Serikali!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,799
Reaction score
18,040
Tangu DPP Sylvester Mwakitalu ameamuru kumkamata na kumfungulia mashtaka ya kosa la uhaini Tundu Lissu Serikali imekuwa ikipata aibu. Kule Kisutu wakati wa Committal proceeding wanasheria wa Serikali waliabishwa na kutoka vichwa chini.

Sasa wapo High Court ni aibu tupu. DPP ameshindwa kupeleka mashahidi wa kuaminika badala yake anapeleka wamachinga na bodaboda ambao wametishiwa kubambikiziwa kesi za uchochezi!

Mashahidi mapolisi ni aibu na fedheha kwa jeshi la polisi. Jeshi la polisi ni dhahiri limejaza vilaza wasiojua sheria wala wajibu wao!

Kutokana na yanayoendelea mahakamani hatuna budi kuhoji uwezo wa kitaaluma na wa kufikiri wa Sylvester Mwakitalu. Je anaelewa na kutathmini mwenendo wa kesi ya Tundu Lissu au ameamua kushupaza shingo ili kuonyesha ubabe wa Serikali?

Shame on you Sylvester Mwakitalu!
 
Walewale mediocre tu, half cooked professionals wa shitholeni, uzuri wameutambua mziki wa Lissu siku nyingine watakua na akili! Wawapeleka mapolisi veta wakasome PGO yao kwanza kabla ya CPA. Mazao ya kudesa jalalani toka kwa mwalimu wao mwakyemba na kalamaganda
 
Kesi imeishageuka vioja mahakamani mpaka maaskari wanacheka waziwazi bila kificho. Hapa dpp ni ku quit tu, hakuna namna!
 
Kuna wakati mpaka unajiuliza kama kuteuliwa kwenye nafasi fulani, sifa kubwa ni kutokuwa na akili na kuwa mtu mnafiki asiyeweza kuegemea kwenye weledi. Ukiangalia mawakili wa Serikali, Polisi, DPP na mashahidi wa serikali ni aibu na vioja vitupu!! Kutegemea watu kama hao katika kuifanya nchi ipige hatua kwenye maendeleo ya haki, ni sawa na kumsubiria kenge aongee.
 
Hakuna anayemuhurumia DPP bali wanaishangaa Serikali kumteua kilaza kama Sylvester Mwakitalu kuwa DPP!
Kuteuliwa kwa dpp kilaza si ndo furaha ya waumini wa maudenda? Wanashangaa ili serikali ilete mwingne eti?
Pambaneni na huyo kilaza msianze kushangaa
 
Anatuamisha ya CAG Assad...
"Uwezo wa watumishi wengi wa serikali ni finyu mno"...

Katuga na team yake wanakaangwa live kwa aibu kubwa mbele za watu kwa maslahi ya wengine!
 
Tangu DPP Sylvester Mwakitalu ameamuru kumkamata na kumfungulia mashtaka ya kosa la uhaini Tundu Lissu Serikali imekuwa ikipata aibu. Kule Kisutu wakati wa Committal proceeding wanasheria wa Serikali waliabishwa na kutoka vichwa chini.

Sasa wapo High Court ni aibu tupu. DPP ameshindwa kupeleka mashahidi wa kuaminika badala yake anapeleka wamachinga na bodaboda ambao wametishiwa kubambikiziwa kesi za uchochezi!

Mashahidi mapolisi ni aibu na fedheha kwa jeshi la polisi. Jeshi la polisi ni dhahiri limejaza vilaza wasiojua sheria wala wajibu wao!

Kutokana na yanayoendelea mahakamani hatuna budi kuhoji uwezo wa kitaaluma na wa kufikiri wa Sylvester Mwakitalu. Je anaelewa na kutathmini mwenendo wa kesi ya Tundu Lissu au ameamua kushupaza shingo ili kuonyesha ubabe wa Serikali?

Shame on you Sylvester Mwakitalu!
Wanyakyusa tunadhalilishwa sana! Tulia katudhalilisha, Mwambegele katudhalilisha, Mwakitalu naye ndio Huyu, tufanyeje jamani?
 
Back
Top Bottom