DPP Sylvester Mwakitalu anaiabisha Serikali!

DPP Sylvester Mwakitalu anaiabisha Serikali!

Tangu DPP Sylvester Mwakitalu ameamuru kumkamata na kumfungulia mashtaka ya kosa la uhaini Tundu Lissu Serikali imekuwa ikipata aibu. Kule Kisutu wakati wa Committal proceeding wanasheria wa Serikali waliabishwa na kutoka vichwa chini.

Sasa wapo High Court ni aibu tupu. DPP ameshindwa kupeleka mashahidi wa kuaminika badala yake anapeleka wamachinga na bodaboda ambao wametishiwa kubambikiziwa kesi za uchochezi!

Mashahidi mapolisi ni aibu na fedheha kwa jeshi la polisi. Jeshi la polisi ni dhahiri limejaza vilaza wasiojua sheria wala wajibu wao!

Kutokana na yanayoendelea mahakamani hatuna budi kuhoji uwezo wa kitaaluma na wa kufikiri wa Sylvester Mwakitalu. Je anaelewa na kutathmini mwenendo wa kesi ya Tundu Lissu au ameamua kushupaza shingo ili kuonyesha ubabe wa Serikali?

Shame on you Sylvester Mwakitalu!

Unafikiri tayixo ni yeye...? Tatizo ni naelekezo toka juu.
 
Mashahidi wao hakuna mwajiriwa wa serikali.
Wote ni bodaboda, machinga, mama lishe na polisi wenyewe kwakifupi huwezi kuendesha kesi kubwa ya uhaini Kwa kutegemea ushahidi ya hao watu.

Mashahidi 16 waliobakia tumeambiwa kuwa wote ni bodaboda
 
Kuna yule shahidi sijui P ngapi? Aliyejichanganya fundi na mkulima yule informer wao ila kwasababu elimu ndogo ya mapolisi,wamejichanganya wenyewe
 
Mashahidi wao hakuna mwajiriwa wa serikali.
Wote ni bodaboda, machinga, mama lishe na polisi wenyewe kwakifupi huwezi kuendesha kesi kubwa ya uhaini Kwa kutegemea ushahidi ya hao watu.

Mashahidi 16 waliobakia tumeambiwa kuwa wote ni bodaboda
Aibu kubwa kwa mamlaka ya uteuzi kwani inaonyesha upeo wake ulipokomea!
 
Back
Top Bottom