Labda na huo upelelezi wa Mengi hautkamilika vilevile... mazingaombwe mengi sana nchi hii siku hiziHii kali. DPP ana jalada la Kagoda anasema hajakamilisha, leo ameanza kuwa mpelelezi
Picked this up from Daily News website:
The Director of Public Prosecution (DPP), Mr Eliezer Feleshi, said yesterday that his office has started to scrutinise reports of graft, tax evasion and economic sabotage linked to prominent businessmen Mr Reginald Mengi and Mr Rostam Aziz.
The two businessmen are currently engaged in an unprecedented war of words and name calling in the local media. The IPP Chairman, Mr Mengi, had earlier referred to the Igunga legislator, Mr Rostam as one of the top five most corrupt persons in the country, whom he named as "sharks."
A few days later, Mr Rostam came out with scathing attacks against Mr Mengi, branding him as a paranoid, tax evader and an economic saboteur. On Tuesday, Mr Rostam went to the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) offices in Dar es Salaam and presented a report detailing what he described as "documentary evidence implicating Mr Mengi in various criminal transactions."
The following day, Mr Mengi filed a libel suit against the Igunga legislator at the High Court in Dar es Salaam demanding a whooping 10bn/- in damages. The DPP told the 'Daily News' that his office was looking for the authenticity of the claims as reported in the media.
"Our investigative machinery is working on the allegations and we are going to act accordingly," Mr Feleshi said. Meanwhile, the DPP said his office and that of the Directorate of Criminal Investigations (DCI) have started conducting capacity building courses to the staff. Mr Feleshi said his office planned to recruit 157 lawyers in a couple of years, but has so far hired 47.
Hii kali. DPP ana jalada la Kagoda anasema hajakamilisha, leo ameanza kuwa mpelelezi ama ndio amekabidhiwa jalada la uchunguzi na "Kachero" Rostam ambaye uchunguzi wake unakuibalika haraka na naamini atatoa kibali cha mashitaka dhidi ya Mengi haraka sana.
Umekamilika ndio maana siku chache baada ya Rostam kupeleka PCCB tayari DPP kakabidhiwa. Kumbuka kesi zote zinazochunguza na PCCB na Polisi huchukua muda gani kwenda kwa DPP, sasa unaambiwa tayari kwa DPP, ujue kumekucha hakuna utani. Mara nyingi kama upelelezi bado jalada haliendi kwa DPP, likienda likarudi ni kwa mapungufu na kama DPP anasema wanalichunguza ina maana hakuna mapungufu. Mwaka huu tutaona mengiLabda na huo upelelezi wa Mengi hautkamilika vilevile... mazingaombwe mengi sana nchi hii siku hizi
Hii kali. DPP ana jalada la Kagoda anasema hajakamilisha, leo ameanza kuwa mpelelezi ama ndio amekabidhiwa jalada la uchunguzi na "Kachero" Rostam ambaye uchunguzi wake unakuibalika haraka na naamini atatoa kibali cha mashitaka dhidi ya Mengi haraka sana.
Ninadhani uchunguzi dhiidi ya mengi ni rahisi zaidi kukamilika, kwa sababu Rostam ametoa report yenye details. Kwa wapelelezi kazi yao ni kuthibitisha kwenye taasisi husika, lakini kwa kagoda kazi ipo kwa sababu ni hadithi tuu hakuna sehemu ambako RA ameweka sahihi au kuhusihwa kwa jina lake this man is smart.sasa mzee Mengi kaingia kichawakichwa.Labda wambane RA kwenye kodi katika kampuni zake zinazojulikana.Umekamilika ndio maana siku chache baada ya Rostam kupeleka PCCB tayari DPP kakabidhiwa. Kumbuka kesi zote zinazochunguza na PCCB na Polisi huchukua muda gani kwenda kwa DPP, sasa unaambiwa tayari kwa DPP, ujue kumekucha hakuna utani. Mara nyingi kama upelelezi bado jalada haliendi kwa DPP, likienda likarudi ni kwa mapungufu na kama DPP anasema wanalichunguza ina maana hakuna mapungufu. Mwaka huu tutaona mengi
Lakini feleshi si kasema ANACHUNGUZA!!!???Umekamilika ndio maana siku chache baada ya Rostam kupeleka PCCB tayari DPP kakabidhiwa. Kumbuka kesi zote zinazochunguza na PCCB na Polisi huchukua muda gani kwenda kwa DPP, sasa unaambiwa tayari kwa DPP, ujue kumekucha hakuna utani. Mara nyingi kama upelelezi bado jalada haliendi kwa DPP, likienda likarudi ni kwa mapungufu na kama DPP anasema wanalichunguza ina maana hakuna mapungufu. Mwaka huu tutaona mengi
Naamini huu ndio utaratibu bora wa kumaliza tatizo hili. Vyombo vyote vya dola viingilie kati vichunguze ukweli wa tuhuma zote kwa kila mmoja upande wake. Kisha walinganishe taarifa zao na kisha wachukue hatua za kisheria bila kujali umaarufu wa mtu au uhusiano wao na wakubwa.
Tatizo watalokumbana nalo ni kuwa, mapapa na manyangumi wote wana uhusiano mkubwa na vigogo wa nchi hii.
Kutokana na historia, hata kama shutuma hizi zitafunikwa katika utawala huu, huko mbele lazima zitakuja kufufuliwa pale atapokuja kiongozi muadilifu.
Naamini huu ndio utaratibu bora wa kumaliza tatizo hili. Vyombo vyote vya dola viingilie kati vichunguze ukweli wa tuhuma zote kwa kila mmoja upande wake. Kisha walinganishe taarifa zao na kisha wachukue hatua za kisheria bila kujali umaarufu wa mtu au uhusiano wao na wakubwa.
Tatizo watalokumbana nalo ni kuwa, mapapa na manyangumi wote wana uhusiano mkubwa na vigogo wa nchi hii.
Kutokana na historia, hata kama shutuma hizi zitafunikwa katika utawala huu, huko mbele lazima zitakuja kufufuliwa pale atapokuja kiongozi muadilifu.
lakini upande mwingine ni vizuri vyombo vinavyohusika vifuatilie tujue ukweli
Vingekuwa vyombo vyenyewe ni indepentent singekuwa na tatizo. Lakini kama ni vile vile vyombo vilivyokataa kupelekea file la Kagoda mahakamani, na ni vile vile vilivyosema richmond hana matatizo !! NINA WASIWASI