Kesi yake atahukumiwa miezi mitano faini milioni 900, tijiandae kumchangia wamezoea kukusanyia huko mahakamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni aidha lugha au chuki, Lema alipewa orodha ya majina yeye alichokifanya ni kuitoa orodha hiyo hadharani na kuliomba jeshi la polisi lifanye uchunguzi, anakamatwa!Hivyo vifo vingi tu vya watu kuchinjwa, ulivitolea taarifa kwenye kituo cho chote cha polisi na wao wasichukue hatua? Hili ndilo analolisema DPP: wewe raia mwema una wajibu wa kutoa taarifa kwa vyombo husika kama una ushahidi wa maovu kutendeka. Kama hatua haikuchukuliwa, hapo ndipo una haki ya kulalamika, huku ukiwa na kumbukumbu ya taarifa uliyofikisha kituoni. La sivyo, shut up! Na ukipwayuka tu utachukuliwa ni mzushi anayetaka kuleta ghasia nchini na unapaswa kuchukuliwa hatua. Kama Lema alikuwa na orodha ya watu waliochinjwa, kilimshinda nini kuanza kwa kutoa taarifa kwenye vyombo vinavyohusika badala ya kutangaza kwenye magazeti? Kwa hiyo kufanya hivyo ndiyo kulisaidia kutatua tatizo au ni njama tu za kujitafutia umaarufu wa kisiasa? Let's be objective and realistic.
Soma uelewe kilichoandikwa, acha kurukia rukia usivyojua.
Ndio hofu wanatishia njia yake ya toilet kuota nyasiDPP ame specialize kuwashtaki wapinzani tu!
Katika habari hii, naona ni kweli watu wameuwawa, iwe amechinjwa au kupigwa. Sasa huyo DPP anataka kumchukulia Lema hatua kwa sababu vifo vimetokana na kupigwa, na si kama
Katika habari hii, naona ni kweli watu wameuwawa, iwe amechinjwa au kupigwa. Sasa huyo DPP anataka kumchukulia Lema hatua kwa sababu vifo vimetokana na kupigwa, na si kama lema alivyosema kuwa wamechinjwa?
Ajenda kuu za Chadema mwaka 2020 zilikuwa mbili.
Fanya zali lolote lile ukamatwe kuipa nguvu jumuiya ya kimataifa kuingaza Tanzania kama ni nchi inayoonea wapinzani
Ya pili ni kutafuta huruma ya wananchi kwa gharama yoyote ile.
utakuwa na dalili za corona wahi ukapimeAjenda kuu za Chadema mwaka 2020 zilikuwa mbili.
Fanya zali lolote lile ukamatwe kuipa nguvu jumuiya ya kimataifa kuingaza Tanzania kama ni nchi inayoonea wapinzani
Ya pili ni kutafuta huruma ya wananchi kwa gharama yoyote ile.
Mtakataa ukweli lakini ukweli haufichiki.utakuwa na dalili za corona wahi ukapime
Anamchukulia hatua kwa kupotosha (Defamation). Amesema watu wamechinjwa kumbe hawakuchinjwa. Amesema hakuna hatua zilizochukuliwa kumbe kuna hatua tayari zilishachukuliwa! Haya yote sio sawa!
Ana
LHayo ni malumbano ya hoja.
Alichokisema watu wameuwawa, iwe kwa kuchinjwa, kupigwa au kwa kugongwa na vyombo vya moto. Sasa ni jukumu la huyo DPP aueleze huma ni watu wangapi walichinjwa na polisi walifanya uchunguzi na kubaini wahusika, na je ni hatua ganizimechukuliwa. Ni watu wangapi wlikufa kwa kupigwa kama alivyo dai na polisi walifanya uchunguzi na kubaini wahusika, na je ni hatua ganizimechukuliwa.
DPP akitoa maelezo na ushahidi kuthibitisha asemayo, basi atakuwa na haki ya kumwita lema mwongo, vinginevyo DPP ajitafakari vizuri