DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

mola mlezi jaalia uwezo wako hawa mashehe watoke haraka waje kupigania dini yako
 
Huwa sipendi kuchangia mada hizi lakini amini usiamini hawa watu ni hatari kwa amani ya nchi ngoja nikupe kazi kidogo.
1. Tafuta maana ya uamsho
2. Kuna masheikh wengi tu Tanzania, kwanini washikwe wao tu?
Tusishabikie kila jambo
kitu gani walicho shabikia? Kama walikwenda kinyume na katiba na sheria za nchi wangekuwa wamefungwa na sio kuweka watu miaka minane upelelezi unaendelea na wazee wao wanakufa wao hawapo na mwisho wa siku wataonekana hawana hatia. Halafukila mmoja wetu anajuwa kama Sefu Ali Iddi na Dr. Shein ndio waliowaweka ndani. Waliwaleta bara kwa kusudi ili waende wakanyie ndooni. Nani asiejuwa au unashabikia madhalimu. Miaka minane umewekwa rumande bila mashtaka ni sawa?. Jamani tunakwenda wapi nchi hii. Mimi nawashangaa sana watu wenye kukubali kudhalilishwa wenziwao.
 
DUUUH EBU NIFAFANULIE VZURI UGAIDI GANI WA MANENO AU UGAIDI UPI WAMEUFANYA
Kuhoji haki ya Zanzibar na Muungano ndio UGAIDI!!! Mabubusa wasiojua chanzo cha kesi na waliobobea kwenye udini wanajifanya hawayajui hayo bali wanaleta visa visivyo na ushahidi. Kama DPP na wapelelezi wake wana ushahidi kwanini kesi isiishe?
HAKI INAYOCHELEWESHWA NI HAKI ILIYOPORWA...
 
kitu gani walicho shabikia? Kama walikwenda kinyume na katiba na sheria za nchi wangekuwa wamefungwa na sio kuweka watu miaka minane upelelezi unaendelea na wazee wao wanakufa wao hawapo na mwisho wa siku wataonekana hawana hatia. Halafukila mmoja wetu anajuwa kama Sefu Ali Iddi na Dr. Shein ndio waliowaweka ndani. Waliwaleta bara kwa kusudi ili waende wakanyie ndooni. Nani asiejuwa au unashabikia madhalimu. Miaka minane umewekwa rumande bila mashtaka ni sawa?. Jamani tunakwenda wapi nchi hii. Mimi nawashangaa sana watu wenye kukubali kudhalilishwa wenziwao.
Unajua kwanini walishikwa?
 
Wanyongwe hawa waliua Padri, wanyongwe hawa walimwagia tindikali shekhe mstaarabu huko Zanzibar, wanyongwe walichoma kanisa, wanyongwe walitaka kuvunja muungano, wanyongwe walihatarisha maisha ya watu bara Zanzibar wakati wazenji wamekaa huku bara. Hawa jamaa wasiachiwe yani wakiachiwa hawa ni hatari kwa usalama wetu. Rejeeni mihadhara yao walikuwa wanaongea nini ndio mtaelewa ninachokisema
Unasema wanyongwe wewe unao ushahidi wa kuwatia hatiani, DPP ameshindwa kwa miaka minne kukamilisha ushahidi, kama unao huo ushahidi mpeleke, sio kuleta ujinga kuwaonea watu kisa Dini yao, kosa gani lisilothibitishwa
 
Hapo hakuna udini sababu :
1. Kesi yao ilianzia Zanzibar huko ambako 97% ya wakaazi ni waislamu.
2. Hata wakati wanawekwa ndani kipindi kile huku bara unajua rais alikuwa nani?
Mahubiri ya kikundi hiki ilikuwa ni kuvunja muungano na kuchochea chuki kati ya watanzania. Waliacha lengo lao kuhubiri dini wakaingia kwenye uamsho wa kuwaamsha wazanzibari kujenga chuki. Ukitaka siasa fanya siasa ukitaka dini fanya dini.

Zanzibar Kuna mahakama kuu kwanini kosa lifanyike Zanzibar kesi iletwe Tanganyika, huu ni uonevu kwa kuwa walijua wakiwashitaki Zanzibar watapata dhamana kwa kuwa Zanzibar kesi zote zina dhamana, huyo unayesema alikuwa Rais muislam ni muislam jina alikuwa anaongozwa na mfumo Katoliki
 
Usichezee issue ya muungano uwe ni padri, shehe au mpagani utawekwa ndani tu. Huwezi kuchochea vurugu na mamlaka ikabaki kimya wakuangalie tu unataka kutenganisha ndugu waliochanganya damu. Toa mawaidha ya dini waumini wako wamjue Allah hakuna MTU atakaekugusa. Ila ukileta habari za siasa lazima utashughulikiwa.
Zanzibar Kuna mahakama kuu kwanini kosa lifanyike Zanzibar kesi iletwe Tanganyika, huu ni uonevu kwa kuwa walijua wakiwashitaki Zanzibar watapata dhamana kwa kuwa Zanzibar kesi zote zina dhamana, huyo unayesema alikuwa Rais muislam ni muislam jina alikuwa anaongozwa na mfumo Katoliki
 
Hapo hakuna udini sababu :
1. Kesi yao ilianzia Zanzibar huko ambako 97% ya wakaazi ni waislamu.
2. Hata wakati wanawekwa ndani kipindi kile huku bara unajua rais alikuwa nani?
Mahubiri ya kikundi hiki ilikuwa ni kuvunja muungano na kuchochea chuki kati ya watanzania. Waliacha lengo lao kuhubiri dini wakaingia kwenye uamsho wa kuwaamsha wazanzibari kujenga chuki. Ukitaka siasa fanya siasa ukitaka dini fanya dini.
Ukiondosha "gubiko" ulilovikwa na ukatumia akili zako za kawaida utaelewa... fuatilia maneno ya Seif Ali aliyekuwa makamu wa Rais wa Zanzibar utaelewa ikiwa unataka kuelewa... vinginevyo kakojoe ulale kuliko kuimba usiyoyajua
 
Unajua kwanini walishikwa?
Muhimu kama wana makosa wahukumiwe. Wewe umetoka wapi?. Mbona huoni kama watu wanakosewa kwa kuwekwa rumande miaka 8. Kukujibu ni kuwa wameeleza haki ya zanzibar kujitawala na kujitoa kwenye muungano. Munakumbu mchakato wa katiba?. Kila mtu alitoa maoni yake. Sisi wazanzibari tumedhulumika katika muungano huu. Kwa hiyo maoni yao ni maoni ya wazanzibari wengi na tunalolitaka ni haki yetu katika muungano.
 
Back
Top Bottom