Dplm in sec Edctn vs form 5

Dplm in sec Edctn vs form 5

Popo bawaa

Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
47
Reaction score
2
Naomben usha uri kuhusu hili jambo ni bora kwenda advnc kwa combntn ya CBG au kwnd kusoma dplm y ualim w secondry....
 
Ukisikia special diploma ndio kama wewe unachotaka kufanya sasa kama utakuwa unakumbuka kauli walizosema watu kuwa "Hawa wanafunzi ni vilaza "Nenda na wewe....nenda advance baadae utaenda huko unakotaka
 
Ukisikia special diploma ndio kama wewe unachotaka kufanya sasa kama utakuwa unakumbuka kauli walizosema watu kuwa "Hawa wanafunzi ni ****** "Nenda na wewe....nenda advance baadae utaenda huko unakotaka

Duuu kwel...ttzo wazaz hawtk kuelewa wana taka n rudi tena
 
Duuu kwel...ttzo wazaz hawtk kuelewa wana taka n rudi tena
Dah mkuu kama mimi tu wazaz wanataka nirudi nikapige hio ,hio special dip ,na hv wameambiwa ada italpwa na serkali ndo kabsa wamekomalia
 
Naomben usha uri kuhusu hili jambo ni bora kwenda advnc kwa combntn ya CBG au kwnd kusoma dplm y ualim w secondry....
mm labda cjielew hiv ukimaliza form4 unaweza ukawa mwl.wa sec kwel?au huyu dogo anachukulia uwalimu wa sec ni kwa wanafunzi hewaaaa be care nitakutumbua kwa madam..nda........
 
mm labda cjielew hiv ukimaliza form4 unaweza ukawa mwl.wa sec kwel?au huyu dogo anachukulia uwalimu wa sec ni kwa wanafunzi hewaaaa be care nitakutumbua kwa madam..nda........
nadhani hiyo itakuwa ni ile ya UDOM special diploma ambayo wanasomea ualimu wa masom y scienc secindary mkuu.
 
Duuu kwel...ttzo wazaz hawtk kuelewa wana taka n rudi tena
Duuh kumbe tayari ulikuwepo huko!!!!
Nenda advance alf ukapige msuli sana hiyo special diploma haitokuhusu tena. Unaweza ukaenda kwenye bachelor ya education direct. Best wishes
 
mm labda cjielew hiv ukimaliza form4 unaweza ukawa mwl.wa sec kwel?au huyu dogo anachukulia uwalimu wa sec ni kwa wanafunzi hewaaaa be care nitakutumbua kwa madam..nda........

Hii n specl dplm
 
Back
Top Bottom