Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 266
- 125
Wabunge wameongezewa Posho
Wabunge wamepitisha mkataba wa bandari bila maoni ya wapigaji kura wao majimboni
Wabunge wamekuwa wasemaji wa DP WORLD wanapita na mkutano wa Chongolo kuunadi huo mkataba na hawakupita kuomba maoni.
Bunge lilitoa nafasi ya kukusanya maoni ndani ya siku tatu tu, kupitia kamati ya bunge, barua pepe au kufika Dodoma viwanja vya bunge.
Cha ajabu wanakusanya maoni wakati mkataba umevuja hawakuutoa wao tangu ulipotiwa saini Octoba 22.
Wanakusanya maoni na bunge halijatoa Tafsiri ya kiswahil ya mkataba ili watu waelewe.
Naunga mkono kauli ya MWABUKUSI ya bunge letu ndio wangepewa DP WORLD tena lingeenda likae uko uko Dubai na Wabunge wake.