Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

Hakuna lisilowezekana, ukiweka imani thabiti katika hilo utafanikiwa, kaa ukijua imani inaumba.
 
Hii issue kuna mtu aliniambia ila siamini sana...................kule kwetu Mbulu huu mti unaitawa "MANGAFI"
 
Diiiii

I think I'm in a wrong direction lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tumia hamiraa yani unachanja kidogo n wembe kisha pakaa......mzigo unarefuka n kuumuka ndani ya cku moja
 
hizi ni hadithi za kufikirika ambazo hazina proof yoyote ya kitalam,halafu haina haja ya kuwa na mzigo mkubwa,hata kibamia kinatosha,la msingi ni kujua jinsi ya kutumia
 
Siujui huo mti weka picha yake mkuu
 
Eti nini Smile??

Siamini wallah!

Babu DC!!
Mwongozo uko sawa lakini cjaelewa kipengele cha kutupa njia pada, kina uhusiano gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…