GE2025 Doyo: Nikiwa Rais nitalipwa milioni 6 kwa mwezi, wabunge watalipwa milioni 4 tu

GE2025 Doyo: Nikiwa Rais nitalipwa milioni 6 kwa mwezi, wabunge watalipwa milioni 4 tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
“Nikiwa Rais wa Nchi hii watu watakimbia fomu za Ubunge maana nitwalipa mshahara mdogo wa Milioni 4 Kwa Mwezi, na mimi kaka Rais nitalipwa Milioni 6” Doyo Hassan Doyo - Mgombea Urais - NLD

 
Bado ni hela nyingi, walipwe kima Cha chini Cha mshahara.

Maana sifa ya kuingia kule ni kujua kusoma na kuandika tu na sio lazima uwe umemaliza darasa la saba
 
Doyo ana hoja nzuri sana, sema ndo hivyo yuko kwenye chama ambacho hata hakijulikani.
Natamani Rais atakayeingia madarakani, ayafanyie kazi haya mawazo ya Doyo Hassan Doyo kwa ustawi wa nchi yetu
 
Afadhali alipwe milioni 100 lakini madini na rasilimali nyingine zinawanufaisha watz. Siyo kama sasa madini wanapewa wahuni
 
Back
Top Bottom