GE2025 Doyo: Elimu ya Tanzania haina maslahi kwa wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mgombea Urais kupitia Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo ameutaja mfumo wa elimu ya Tanzania kuwa ni usio na maslahi kwa wananchi wake.

Doyo amezungumza hayo akiwa katika muendelezo wa kampeni zake Mkoa wa Rukwa katika Wilaya ya Sumbawanga Leo Oktoba 11, 2025 akisema mfumo huo unamfanya mwanafunzi asiweze kujitegemea na kuwa mbunifu huku akiahidi endapo akipewa ridhaa ya kuongoza nchi ataundoa mfumo huo.

Wanadharau mfumo ambao umewafikisha hapo walipo
 
Back
Top Bottom