Mimi naangalia mpira live, kwa kutumia Halotel internet.
Live long Halotel
Mbona wako vizuri tu, au uliko mawasiliano mabovu!Nilikuwa nanunua bando ya siku speed yao iko vizuri sana sasa nimejaribu kukata mzizi wa fitina nimenunua cha wiki mwendo wa kobe nkaona isiwe kesi nimenunua cha mwezi mwendo wa kobe kama kawaida hii mitandao wajeuri sana bado tunapigwa cha wiki kufungua picha nasubir dakika nne na hapo nina gb moja!!!! Hatari sana.
Yawezekana mkuuMbona wako vizuri tu, au uliko mawasiliano mabovu!
Na mmelaaniwa kweli kila kitu nyie mnawaza kulaaniwa tu mangine ni ya kibinadamuKama hata halotel inapondwa kwa spid yake hii ya internet, basi watanzania sisi tumelaaniwa
Kweli mkuu bora kujaribu apa nawaza nikafuate line zao za chuo labda kunaweza kuwa kupo vizirKabla ya kutoa elf 20, ngoja nitafute line ya majaribio kwanza
Mkuu mm nimenunu line ya halotel imenishinda nipo wilaya ya ilala dsm hawana netwark hawana internet nimewapigia mara 8 kuwaeleza lakini hawakuchukuwa hatua yoyote ile line nimeitupa.Kama hata halotel inapondwa kwa spid yake hii ya internet, basi watanzania sisi tumelaaniwa
Labda simu yako ina tatizo...Mkuu mm nimenunu line ya halotel imenishinda nipo wilaya ya ilala dsm hawana netwark hawana internet nimewapigia mara 8 kuwaeleza lakini hawakuchukuwa hatua yoyote ile line nimeitupa.
Hi kampuni nadhani hawakuja kufanya biashara wamekuja kutakatisha fedha chafu.
20 ya nini?Kabla ya kutoa elf 20, ngoja nitafute line ya majaribio kwanza
Mkuu mm nimenunu line ya halotel imenishinda nipo wilaya ya ilala dsm hawana netwark hawana internet nimewapigia mara 8 kuwaeleza lakini hawakuchukuwa hatua yoyote ile line nimeitupa.
Hi kampuni nadhani hawakuja kufanya biashara wamekuja kutakatisha fedha chafu.
Du hilo tatizo liwe kwa halotel tu.?Labda simu yako ina tatizo...
Sawa tu aliekupa ww hiyo ndio alie nipa mm hii na simwingine ni mungu.Simu yako itafungwa MWezi wa 6
Mkuu mm nimenunu line ya halotel imenishinda nipo wilaya ya ilala dsm hawana netwark hawana internet nimewapigia mara 8 kuwaeleza lakini hawakuchukuwa hatua yoyote ile line nimeitupa.
Hi kampuni nadhani hawakuja kufanya biashara wamekuja kutakatisha fedha chafu.
Mm nipo ilala natumia vzr sanaDu hilo tatizo liwe kwa halotel tu.?
Voda tigo ziko ok.
Tatizo mitambo yao kwa ilala iko taaban hoi haina uwezo.
Mkuu ilala ipiMm nipo ilala natumia vzr sana