Download Speed: Shkamoo Halotel

Kwenye Dish lazima ulipie ila ukitaka vya bure kanunue mtambo wa skrach startimes.
 
Sijalipia miezi mitatu sana lakini local channels napata bila wasiwasi ten siku nyengine wanatoa free channels za kulipia, sasa sijui kina tatizo gani huko kwako
 
Tutayaona mengi utawala huu zigo la mwenye maisha ya chini linazidi kuwa kubwa huku kila siku bidhaa zinapanda bei
HAPA KAZI TU.!

Wenyewe kazi wanakula bata tu..!

Haya bana hacha tuiosome namba.
"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
 
Hapo mwanzo ilikua ukitaka channel za kulipia za kawaida ni 12000 na ukitaka za. Michezo ni 15000 jumla. 27000 lakini sasa hv kwa 15000 unapata zote za michezo na za kawaida, mkuu hata hili la kushusha gharama pia ni shida??
 
Sijalipia miezi mitatu sana lakini local channels napata bila wasiwasi ten siku nyengine wanatoa free channels za kulipia, sasa sijui kina tatizo gani huko kwako
Zamu yako bado hata mimi ilikua hivyo lakini juzi wameng`oa zote wameacha lichaneli lao la Tbc
 
Digitek;
kwa sasa tunatumia Frequency ya 3644 MHZ Polarization RCP Symbol rate 8545 FEC 2/3. Ambapo utapata channnels za local, Bado hatujaweka package yetu yote kwenye satelite.
 
ninunue kipi sasa nipate raha kwa bei nafuu?
 
Nashangaa mipangilio yao ya chaneli hivi kifurushi kikiimsha mdawake ndo hata local stesheni zote zinafungiwa?yani huoni hata tbc?huku tunapopelekana sipo jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji27] [emoji26]
 
Mm mda wakulipia ukiisha tu hapohapo huoni hata chaneli moja hata zle TBC,ITV na star pia hazionekani huu siniukatili
 
azam tv sio ya Tanzania ni Tv ya nje....haiwezekani ikaisaliti nchi yake yenyewe kwa kuzifungia local channels, nilikuwa siamini mwanzo ila nilikwenda kwa rafiki yang nikakuta kweli locals zote zimefungwa.......
 
Kumridhisha mtanzania ni NGUMU sana,pole sana Bakhresa,licha ya kuboresha huduma hivi karibuni bado ni malalamiko tu.Nakushauri mzee jikite zaidi Rwanda,Uganda,Burundi,Kenya,Ghana na Cameron...naona huko unakubalika zaidi achana na waswahili.
 
Hivi kwani lazima kuangalia Tv. Kama ni habari simsikilize redio.
 
azam tv sio ya Tanzania ni Tv ya nje....haiwezekani ikaisaliti nchi yake yenyewe kwa kuzifungia local channels, nilikuwa siamini mwanzo ila nilikwenda kwa rafiki yang nikakuta kweli locals zote zimefungwa.......
Sikiliza redio mkuu
 
Kuja kwa Azam tv wengi nikiwemo mimi tuliamini ni ukombozi ktk tasinia ya Utangazaji nchini hasa kutokana na ukuritimba uliokuwepo wa Startime.

Kadiri muda na siku zinavyokwenda imedhihirika pasina shaka kuwa Azam tv siyo kimbilio la wanyonge bali ni Mkoloni mpya ktk kuzuia habari kuwafikia wananchi.

Kitendo cha kituo cha Azam tv kuondoa ktk king'amuzi chake channel za kitaifa zinazotakiwa kuonekana bure kumetuondolea imani hasa sisi wazawa wanyonge juu ya mustakabali wa tasinia ya utangazaji nchini ktk dhana ya upatikanaji wa habari.

Nakumbuka usemi wa wahenga waliosema USIACHE MBACHAO KWA MSAALA UPITAO ambapo mara baada ya Azam tv kuingia sokoni wengi tulipapalika kuachana na Startime lakini sasa tumekiona cha moto.

Natoa wito kwa watanzania wenzangu tujifunze kupitia kitendo hiki cha Azam tv kwa siku za usoni na TCRA boresheni kanuni zenu kudhibiti ukiritimba huu
 
Digitek;
kwa sasa tunatumia Frequency ya 3644 MHZ Polarization RCP Symbol rate 8545 FEC 2/3. Ambapo utapata channnels za local, Bado hatujaweka package yetu yote kwenye satelite.
Habari,digiteck king'amuzi cha kawaida naona chanell hazipo siku izi,ama kuna mabadiliko except tbc,ch10 tu ndo nazipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…