Weka Mama Yake na Sofia wa the mushroom bandnimesikia ni mpenzi wa hizi nyimbo, haya anzia wikiend hiyo
nitumie ulionaobujibuji sidhani kama ni mushrooms waliimba huu wimbo nakumbuka ni kati ya mombasa roots au safari sound band zote zilikuwa za mombasa