Download Movies on Android Tab

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,074
49,775
Wakuu vipi?
Nina Acer iconia A200 ina ru Aneroid Icecream Sandwich 4.0.3
Napenda download Movies moja kwa moja mtandaoni. Msaada nifanyeje?
 
Wakuu vipi?
Nina Acer iconia A200 ina ru Aneroid Icecream Sandwich 4.0.3
Napenda download Movies moja kwa moja mtandaoni. Msaada nifanyeje?

Tumia 'aTorrent' au 'tTorrent' kudownload torrent files ktk kwenye internet. Hii hapa aTorrent ( https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mobilityflow.torrent&hl=en ) au tTorrent ( https://play.google.com/store/apps/details?id=hu.tagsoft.ttorrent.lite&hl=en )..hizo ni nzuri unaweza kudownload files zaidi ya moja na pia kuPause na kuResume downloads,,,
 
thanks wazee, am working on it hope soon ntarudisha report
 
Back
Top Bottom