Download free JF application for Android

Mi nimeinstall hii app lkn haifunguk yan inaishia kwenye 'please wait' na nshajarribu kuitoa na kuirudisha upya ila mambo yaleyale, android 4.1 samsung galax s3
Cc Young Master
 
Last edited by a moderator:
me nimeitoa maana kuna baadhi ya vitu vinakosekana
 
Wadau kuna application fulani ukiandika number yako ya simu inakuletea jina lako la usajil na nchi inaitwaje kwa wale wanawoifaham.
 
Rooting your phone is only way to customiz android OS and making your phone run better
 
Mi nimeinstall hii app lkn haifunguk yan inaishia kwenye 'please wait' na nshajarribu kuitoa na kuirudisha upya ila mambo yaleyale, android 4.1 samsung galax s3
Cc Young Master

mi natumia galaxy s3 na hiyo app naipata kwa uzuri kabisa,jaribu kudowload via play store.
 
Last edited by a moderator:
JF App ya iPhone ipo inatumika na ni nzuri sana, yangu nimeiDownload freely kama miezi miwili imepita hivi na inasaidia sana, unaweza kuUpload hata pictures na videos...great work!

mkuu naomba uni elekeze jinsi ya ku upload picha jf kwa kutumia hiyo app.
 
Bola niingilie kwa brouser nyingine kuliko hiyo application
 
Kuna wale inayosumbua.... inabid uroot sim....🙂
 
Nlikuwa naitumia hii app lkn ikagoma ikawa inaishia "pls wait....' na hiyo issue weng wakawa wanalalamikia.... kln baada ya kuroot imekubali naenjoy sasa.

lakini bado sijajua kuweka new topic kwa ile app nsaidien hapo.
 
Me Hilo tatizo likitokea huwa na uninstall and kisha na install tena
 
nlikuwa naitumia hii app lkn ikagoma ikawa inaishia "pls wait....' na hiyo issue weng wakawa wanalalamikia.... kln baada ya kuroot imekubali naenjoy sasa.....
lkn bado sijajua kuweka new topic kwa ile app nsaidien hapo....
Fungua jukwaa unalotaka kuweka topic yako, pale kwa juu kuna alama ya peni bofya hiyo alama itakuletea opposition tetesi au News alert bofya mmojawapo itakuletea page.
 
Fungua jukwaa unalotaka kuweka topic yako, pale kwa juu kuna alama ya peni bofya hiyo alama itakuletea opposition tetesi au News alert bofya mmojawapo itakuletea page.

Kwngu hakuna.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…