Download application kwa Iphone

kazoa78

Member
Dec 19, 2014
10
8
Naombeni kujua applications gani naweza kutumia kudownload kitu kwa simu aina ya iphone
 
Iphone chenga tuu itakutesa, ila kama umenunua ili uonyeshee watu uko juu jaribu kununua simu ingine ya Android pemben iwe ya kutumia
 
Hahahah..maneno ya mkosaji hayo..mkuu kama ulishindwa kuitumia au huna pesa ya kununua baadhi ya app basi usiseme inamshinda..binafsi tangu niache kutumia sumsung sijajutia hata kidogo...
 
Povuuu lako, angilia vyombo vinavofanya tafiti vinasemaje, siwezi kufanya utafiti kwako tuu then nikaja na majibu ya kuwa iphone ni nzuri kuliko android kisa wewe umesema iphone ni nzuri
 
Nani anayepovuka kati ya mm na ww....eti angalia vyombo vinavyofanya tafiti..sema androids zina app nyingi za bure kuliko ios,but iphone wapo juu..
 
Back
Top Bottom