Downlad videos straight from youtube

Acha shobo, mbona church humwambii mchungaji "Hii injili tulishasoma".

Kuna umuhimu wa kukumbushana vitu vizuri kama hivi, wengine hawakuwa members by the time inakuwa posted humu, kama umeishaiona potezea.

Yeah dats right!! Teh teh teh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni hatua chache tu za kufanya

1:fungua YouTube

2: search video unayotaka

3:nenda kwenye url ya hiyo video:- yaani ile YouTube.............

4:then futa kila kitu upande wa kushoto kuanzia hiyo nukta nyuma ya youtube
Yaani iwe YOUTUBE.COM/watch........

5:nyuma ya neno youtube andika SS isomeke
ssyoutube.com/watch.....

Then press enter,itakupeleka kwenye formats mbali mbali za kudownload

Thanks nimeitumia nimeipenda mungu akubariki
 
Back
Top Bottom