Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apelekwa chumba cha watu mahututi ICU

ngusillo

JF-Expert Member
Nov 5, 2019
1,064
2,014
Gazeti la Evening Standard linaripoti kuwa wazir mkuu Boris Johnson amehamishiwa ICU baada ya hali yake kiafya kuzorota.

Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care after his coronavirus symptoms worsened, Downing Street has confirmed.

Hili janga la Korona linazidi kuitikisa dunia. Hakuna mbabe wala maskini sote tumewekwa kwenye kapu moja. Napata hofu sana ninapowasikia baadhi ya viongozi wetu huku wakibeza hili janga.

Tuchukue tahadhari ya kiwango cha juu sana.

---
Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care in hospital after his coronavirus symptoms "worsened", Downing Street has said.

A spokesman said he was moved on the advice of his medical team and was receiving "excellent care".

Mr Johnson has asked Foreign Secretary Dominic Raab to deputise "where necessary", the spokesman added.

The prime minister, 55, was admitted to hospital in London with "persistent symptoms" on Sunday evening.

The Queen has been kept informed about Mr Johnson's health by No 10, according to Buckingham Palace.

BBC political correspondent Chris Mason said the prime minister was given oxygen late on Monday afternoon, before being taken to intensive care.

However, he has not been put on a ventilator.

A No 10 statement read: "The prime minister has been under the care of doctors at St Thomas' Hospital, in London, after being admitted with persistent symptoms of coronavirus.

"Over the course of [Monday] afternoon, the condition of the prime minister has worsened and, on the advice of his medical team, he has been moved to the intensive care unit at the hospital."

It continued: "The PM is receiving excellent care, and thanks all NHS staff for their hard work and dedication."

Mr Raab - who will later chair the government's daily Covid-19 meeting - said there was an "incredibly strong team spirit" behind the prime minister.

He added that he and his colleagues were making sure they implemented plans Mr Johnson had instructed them to deliver "as soon as possible".

"That's the way we'll bring the whole country through the coronavirus challenge," he said.

Labour leader Sir Keir Starmer described it as "terribly sad news".

"All the country's thoughts are with the prime minister and his family during this incredibly difficult time," he added.

US President Donald Trump said Americans "are all praying for his recovery".

He described Mr Johnson as "a very good friend of mine and a friend to our nation" who is "strong" and "doesn't give up".

Mr Johnson was initially taken to hospital for routine tests after testing positive for coronavirus 10 days ago. His symptoms included a high temperature and a cough.
 
Nimeona BBC
IMG-20200406-WA0070.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gazeti la Evening Standard linaripoti kuwa wazir mkuu Boris Johnson amehamishiwa ICU baada ya hali yake kiafya kuzorota.

Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care after his coronavirus symptoms worsened, Downing Street has confirmed.

Hili janga la Korona linazidi kuitikisa dunia. Hakuna mbabe wala maskini sote tumewekwa kwenye kapu moja. Napata hofu sana ninapowasikia baadhi ya viongozi wetu huku wakibeza hili janga.

Tuchukue tahadhari ya kiwango cha juu sana.
Kasha kabithi mamlaka kwa makamu wake masikini......hajui kama atarudi pesa na mamlaka yana mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasha kabithi mamlaka kwa makamu wake masikini......hajui kama atarudi pesa na mamlaka yana mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app

Cheo cha makamu hakipo ila waziri wake wa mambo ya nje ambae ni myahudi Dominic Raab ndie anaekaimu nafasi ya waziri mkuu.

Bwana Boris Johnson amelazwa hiyo ICU kwenye hospitali ya mtakatifu Thomas.

Hospitali hiyo ndio aliolazwa hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere mwaka 1999.

Katika kipindi hiki cha kwaresima, tumwombee bwana Boris Jonson apate nafuu haraka ili arudi kuendesha nchi ya Uingereza ambayo uchumi wake waelekea kudorora vibaya sana.
 
Downing Street/Ikulu anayokaa Waziri mkuu imesema Boris Johnson ameingizwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi mara baad ya hali yake kuwa mbaya sana. taarifa hiyo imethibitishwa na kutolewa na Shirika la utangazaji la Uingereza BBC. Ambao pia wamejinasibu kuwa amepelekwa kama tahadhari Boris Johnson Bado hajapoteza fahamu.

More to follow:
 
Huwezi kupelekwa ICU kwa tahadhari tu ikiwa hali yako ni njema. ICU ni mahususi kwa wagonjwa wenye hali mbaya zaidi. Kiujumla mambo sio mazuri kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom