DOWANS: Slaa ulituongopea!

Siku zote wanaomuelewa Dr. Slaa ni wale wenye uwezo wa kufikiri mambo kwa kina na si akina Majambo.
Kama wamiliki walifahamika siku nyingi (na si watanzania) kwa nini kulikuwa na kigugumizi kuwataja hadharani?
Hawajui hata kutunga uongo
Subili utakuja kujua Dr Slaa alichokisema
 

fungua macho wewe......
hivi unakuwa mgeni kwa siasa za bongo? it was obvious wasingewataja jk na kundi lake.....
 
mh,jamaa wanachukua dolari kiulainii,az if znatoka kwenye ATM,haya bwana!ngeleja mwanasheria,weremb mwanasheria,JK rais,hao wote wameridhia uzandiki huu!
 
majambo
Member

Join Date
Tue Jan 2011

Posts
21
Thanks
2
Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power
0
 
So you believe everything you hear!!
I wish you all the best

Mimi niliisha sema Kama Slaa angekua na jina la JK kama mmiliki wa Dowans muda woote angeimba hilo soote tunajua hana siri! na hawezi kuficha siri hasa kama ina mhusu JK. aache uongo ame tuchosha na tabia yake ya udalali wa kuuza magazeti!!
alianza na uongo wa ushindi wa 64% sasa wimbo huo umechuja, akabadili strategy kuelekea katiba, huko nako kachemka. sasa kaanza vurugu. ni hatari chama kinacho pendwa na wananchi wengi hivyo kuwa na viongozi wenye umaskini wa busara na hekima kiasi hiki!! inatia uchungu maana wananchi walikiamini kama mkombozi badala yake viongozi wanapekeka wananchi kwenye firing squad!

Hivi Slaa anakumbuka kwamba aliwaahidi wananchi kwamba hataenda ikulu kwa kukanyaga maiti, mbili hizo tayari anasubiri zifike ngapi? 3, 4, 5,....au 1000? tuambie tafadhali.
 

Kweli wewe ni mvivu wa kufikiri kama Kikwete wako. Hivi kweli unaamini kuwa waliotajwa na Ngeleja ndiyo wamiliki? Kwa nini hawakuatajwa mpaka wananchi waandamane na wauane? Wala hujui anayelipwa ni nani. Hivi una habari kuwa RA alishawahi kutajwa kuwa mmoja wa wana hisa wa Dowans. KIKWETE aliwafahamu zamani na hakutaka kuwataja kwanini? Ndiyo maana tukasema yeye ndiye mwenye dowans. Na msimamo bado ni huo huo hata baada ya list ya wana hisa kuchakachuliwa!

Mara nyingine usiharakishe sana kutoa hoja zako kama hujazichuja vizuri. Mzushi mkubwa wewe!
 

Idiot. Tangu lini Slaa i kiongozi wako?.
DR SLAA (Phd) alichosema JK anahusika. Kichwa maji na mgumu kuelewa
 


ulisikiliza tarifa gani?kwa ujumla hakuna jina la mtu hata mmoja lililo tajwa kama mmiliki,waliotajwa kama wamiliki ni makampuni,au mwenzetu tuambie majina ya watu ambao ni wamiliki wa dowans.kwa yalitajwa makampuni ni wanani ambao ni wamiliki wa hayo makampuni?majina ya watu waliotajwa ni madirector.majina halisi ya wamiliki yako wapi?
 

Aisee, una akili kama wale wanaojilipua na mabomu.
 
majina yamechakachuliwa 100% ina maana siku zote walikuwa wanatenegeza documents... yaani bongo ni noma.kwa nini majina yasitajwe tangu awali?
 
Majambo umenena, hivi kweli jamani hata viongozi wanadanganya na kueneza unsubstantiated rumours.!! this is really bad!!
na mi sioni ajabu kwani sio huyu aliyedai kuna kontena la karatasi za kura limeingizwa nchini ambapo baadae ikathibitika ni porojo, uongo, uzabizabina na ukenge wa hali ya juu.
 



Acha kuleta pumba zako wewe, waliosababisha vifo ni Polisi wa CCM. be careful
 
We majambo soma contents za Dr (Ph.D) ndiyo utaelewa kwanini alisema JK anamiliki Dowans siyo unakurupuka tu
 

Wewe ni mpumbavu huna akili hata chembe na nimewaomba mods wakuondoe jumban unatia kinyaa. Ushinde na ulegee. Vilaza hawatakiwi humu jf
 
Kwa hio wee mleta hoja ulitaka jana aseme JK ndio mmiliki, yaani mteule wa JK aseme tena bosi wake yumo, mbona mnaongea nonsense kiasi hiki! tangu lini mwizi akasema nimeiba? pamba...
 
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho, subiri wakati wa kesi ya Makongoro Mahanga wa Segerea ndio utaujua ukweli. Ndipo mtakapo sema yale mabox ya karatasi za kura yalidondoka toka mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…