The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,048
- 307
Hawa viongozi watanzani bure kabisa, maka jana walikopa pesa bank kuendesha nchi, leo wametosheka wanataka kulipana? Ikifika may wanarudi kukopa tena bank
Kinachouma zaidi ni kwamba nchi ni giza totoroTanzania amka, umeibiwa vya kutosha. Acha kukumbatia wauaji wako. Serikali ya ccm haina haya. Ni juzi tu imeingia madarakani na sasa inachukua fedha zetu kuilipa (au kujilipa) Dowans huku ikishindwa kuwaajiri waalimu elfu kumi na tano waliomaliza mafunzo na shule hazina waalimu, huku umeme ukipanda na maisha kuendelea kuwa magumu. Haya shime wananchi andikeni mabango twende barabarani kwa mamilioni tuiambie TUMECHOKA TUMECHOKAAAAAAAAAAA!
kwa hiyo ina maana sita anapambana na bosi wake lakini anajidai anapambana ra
na pinda nae inaonekana kashaambiwa atapelekwa kubadilisha damu mpaka mauti yake akitetea dowans
\hivi yale maazimio ya kamati ya mwakyembe ndo yametiwa kapuni kiaina?
mbona EL alipokuwa waziri wa maji aliwatimua city water na hakukuwa na hizi fidia za mlango wa nyuma
kwa hiyo ina maana sita anapambana na bosi wake lakini anajidai anapambana ra
na pinda nae inaonekana kashaambiwa atapelekwa kubadilisha damu mpaka mauti yake akitetea dowans
kwa hiyo ina maana sita anapambana na bosi wake lakini anajidai anapambana ra
na pinda nae inaonekana kashaambiwa atapelekwa kubadilisha damu mpaka mauti yake akitetea dowans
Tuanze kuimba "fyeka, fekya pori, tumsake joka hilo"
Lazima kitaeleweka, tukaze buti, Misri walitoka wengi sana kuelekea kaanani , lakini walifika watatu tu, tukazane hata kizazi kijacho kione juhudi zetu. Wale matunda ya nchi yao ya hahadi, Tanzania
Kama Kweli Sitta Anaweza Kumobilize Opposition Ndani ya CCM, Wananchi Tutamsifu Sana na Kukweza Kama Shujaa. Dowans Mpaka Sasa Hivi Inaweza Kusimamishwa na Mawaziri na Watu Ndani ya CCM. Kama Itashindikana Ndani ya CCM, Wananchi Tukifahamu Wameshindwa Tutafute Migomo Nchini Nzima na Maandamano Ambayo JK Hataweza Kudhibiti. Dowans ni Sawa na Kupigwa Risasi Kichwani.