palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
Nimepata taarifa za kuaminika kuwa wamiliki wa Dowans in Genge la Mafia. Hawa jamaa inasemekana waliiambia serikali kuwa wapo tayari kuisaidia tz umeme kwa masharti kuwa awepo mtu wa kusimamia kila kitu kutoka tz ili wao wawe kivuli. Ndipo Rostam akateuliwa kufanya shughuli hiyo. kutokana na viapo hivyo hao jamaa hawawezi kutajwa hata kwa gharama yoyote ile si unajua kazi zao zote ni illigeal. ndiyo maana hata mkuu wa nchi naye kasema hawajui.