Dowans: Eti tuandamane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dowans: Eti tuandamane

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by actus, Oct 22, 2011.

 1. a

  actus Senior Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HILI SUALA PIA LIMEKAA KISIASA
  nimepitia judgement ya dowans,aisee kumbe wanaharakati walio enda kuweka pingamizi pale High Court kupinga malipo yasifanyike sijui hawakusoma kwanza sheria inasemaje au basi tu walikua wanatest zali.na pia wanaposhinikiza tuandamane mmh hapa napo sijui wanataka nini.
  kwa ufupi ni kua hata kama mkataba ulikua batili toka mwanzo wao wanaita nully and void(void abnitio)sheria za kimataifa ambazo ndo zilikua msingi wa mkataba INTERNATIONAL CHAMBER OF COMMERCE(ICC) kuna hizo RULES OF ICC on Arbitration zinautambua mkataba husika.
  So the matter of being void abnitio does not hold water.

  Article 6(4) of the same Rule inasema " Unless otherwise agreed,the Arbitral Tribunal Shall not cease to have jurisdiction by reasn of any claim that the contract is null and void or allegation that it is non existent that the Arbitral Tribunal upholds the validity of the arbitration agreement.The Arbitral Tribunal shall continue to have jurisdiction to determine the respective rights of the parties and to adjudicate their claims and pleas even though the contract itself may be non existent or null and void."

  sasa basi kwa kifungu hicho hizo kelele za kua mkataba ni fek,oooh tuandamane ooh tupinge mmh hapo walishakubaliana kua watakua governed na the said rules,na Arbutral Tribunal itakua na mamlaka ya kuamua haki za mtu regadless mkataba ni feki.
  sasa dowans si aliwapa umeme?na si mliutumia?jinsi gani alipata tenda ni immaterial apewe chake as much as amepeform.

  angalizo.watanzania tuzidi kujifunza kutokana na makosa maana ndo usemi ulio wakaa kichwani.
  Turudi kwenye hoja zetu za msingi tulizo zizoea za Kwa kumtizama chura kama chura je amesimama au amechuchumaa??
  hizo ndo hoja zetu ambazo tunaziweza.​
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Wwee umetumwa si bure, nimeona thread nyingine with the same content!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Katumwa huyo, thread mbili the same content!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Tanzania inawanasheria wasiofuta sheria.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Jamani naomba tuishinikize serikali ilipe hii hela. Tusijaribu kupinga yasiyopingika.
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mzee eti tuishinikize!!!????? goodness me, what a retarded mind
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ah, mimi hata naona uvivu.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  unatuomba na sisi tukusaidieni kuishinikiza serikali ilipe kwani ni serikali au tanesco ndiyo walikatabiana na waDWANZI? dowanzi inaing,oa ccm kwenye ramani ya siasa duniani. Tutapinga hayo malipo kwa namna yoyote.
   
Loading...