Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Asante MM!Haya ngoja tukodoe kupata picha ya yaliyofichwa!!Mkuu, Waswahili wanasema "mwenye macho haambiwi kodoa"..
MM,
Hiyo Zaburi nimejisikia kuwaombea viongozi wetu wa TZ jamani...Mungu uwasamehe na kuwageuza roho zao!!!