Dowans: Another Richmond in making?

jamani mwenzenu mbona niniklik aifunguki mnaichungulia wapi au tuombe pm
kid...
 
mkuu mwanakijiji mafisadi wamerusha sumu zao nini humu naona kijarida ukibonyeza hapa akifunuki kabisa
 
Nashindwa kuamini macho yangu na akili zangu mwenyewe..

Hivi inawezekana kweli pamoja na kelele zote juu ya DOWANS, pamoja na madudu yote haya yanayo fumuka juu yake bado serikali ikangangania kununua mitambo hii??

May be napata uchizi, hivi kwani serikali ni nani?? na je serilakali yaweza kuwepo bila kuwepo sisi wananchi? kwanini wanatuburuza namna hii??

Hapa njia ya sanduku la kura inakuwa mbali sana, inabidi lifanyike jambo.. hata kama ni kulala barabarani wakose pa kupitisha hayo mashangingi yao.. Hatuhitaji kununua kitu kanyaboya.. afterall sheria iko upande wetu.. TUWANYANGANYE !
 
Mzee Mkjj pongezi sana kwa kazi kubwa hii. Habari hii inatia kizunguungu! Sasa wabunge (si Zitto) lazima waitumie hii habari kukata mzizi wa fitina, wasiishie kulalamika tu Rostam, Rostam! Hii ni mbaya kuliko Richmound! It is indeed sad kuwa hata wan JF sasa wameanza kupoteza vipaumbele! Watu wameng'ang'ania na conflict of interest ya Mwakyembe isiyo na kichwa wala miguu, wameacha issues huku!

One wonders, hivi kwa nini akina Mramba wamepelekwa Kisutu kama jamaa wenyewe ni wachafu hivi!
 

Eh but this is impossible. Jamani kama nimepewa kazi na muajiri wangu na nikaiba, hivi kweli naweza kumwambia muajiri wangu kwasababu ya kosa langu, naomba kupendekeza mdogo wangu kuchukua majukumu ya kazi hii na kuifanya kazi na yeye muajiri akakubali?

Wanadai kwenye contract ya Richmond ilikuwepo hio clause yaku mruhusu Richmond kumpokeza anae mtaka kama akishindwa kazi. Sasa kama huo mkataba wa Richmond ni batiri kwasababu ya makosa makubwa ya usajiri, inakuaje tena Richmond walitumia huo huo mkataba batiri kumpasia Dowans kazi?

Ni nani ali push hii impossibility?
 
unadhani basi wanafikiria hivyo basi? Nakuambia hawana mawazo ya namna hiyo.

Ngeleja kasema Serekali ina mamlaka yakuamua kununua mitambo ilio tumika pale mazingira yakufanya hivyo yatakapo ruhusu.

Je Serekali inaweza kutaifisha mitambo pale mazingira yakufanya hivyo yametokea, kama huu wasasa wa kuingia hasara kwa ukiukaji mkubwa na wamakusudi ulio tokea na mwenye mitambo hio?

Idris katuambia mitambo ime pass inspection yamatumizi, na kwamba siku yoyote hile tunaweza kuingia kwenye emergency. Sasa out of a technicality or more like a violation of the whole process by Dowans kupata mkataba wakugenerate electricity kwakutumia udanganyifu wa kujiambatanisha ubia na miliki Protek as their partner. Ambae sasa inagundulika Protek hayupo kwenye hisa wala kuitambua Dowans.

Tuna muomba Idris atusaidie kuepuka na emergency hio na vile vile Ngeleja kutumia mamlaka ya Serekali ya ukiukaji makusudi wakupata mkataba huo pasipo na halali , MITAMBO YA DOWANS ITAIFISHWE.
 
Last edited:

kwa kweli wakati mwingine hata mimi mwenyewe najipenda!
 
Tulijadili hili swala la Dowans hapa JF mwaka 2009, na leo hii ndio kilele cha yale majadiliano ambapo Tanzania government is obligated to pay a substantial amount of money.

MM alileta ajenda kwamba automatically Tanzania is not obligated to honor the contract between Dowans and Tanesco because Richmond is illegitimate entity. However, things flipped upside down, now Tanzania is obligated to honor the contract.

Is this the beginning of the end end of poor judgment within Tanzania government? I doubt. We need competence people inside this organization, people who will craft and execute strategy for the benefit of Tanzania. Until then Tanzania itaendelea kuwa shamba la bibi.
 

Inaelekea kuna "ukweli" ambao mim na wewe na yule hatuujui...............inakuwaje tumeshindwa kesi na GHOST?
 

huyo fisadi rashidi aache kutudanganya, siku zote tulikuwa tunamtafuta mtu ndani ya tanesco na wizara ya nishati na madini aliyeitoa kibali kwa richmond iliyoshindwa kutimiza masharti ya mkataba wake wa awli kuiingiza dowans badala ya kushitakiwa mahakamani. Huyu ndiye anayelisababishia taifa hasara hii.

tunaomba mtu huyo atajwe kwa jina li watanzania wote tumafahamu. Nahisi haya mamabo ya serikali kudaiwa na kisha dowans kudaiwa ni mboja ya mbinu ya mafisadi rashidi lowassa na rostama azizi kutuka kujisafisha na kutughilibu.

This is pur nonsense!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!
 
tatizo hapa wanaolipa fedha hizi serikalini ndio hao hao wanaozipokea kama dowans. Hivyo lazima zitalipwa tuu!!. Ndio maana tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…