Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,812
Hiyo ndio staili kutokea hapa mjini kwa wanasiasa wenye vyama vyao wasio na hoja. Nape Nnauye alipotaka kugombea uenyekiti UVCCM aliibuka na Lowasa kaauza nyumba ya uvccm.Inaelekea kila mwenye kutaka umaarufu inabidi amaseme Dr Slaa!
Inaelekea bila kumtaja Dr Slaa single haiuzi,mambo ya nitokeje!Hiyo ndio staili kutokea hapa mjini kwa wanasiasa wenye vyama vyao wasio na hoja. Nape Nnauye alipotaka kugombea uenyekiti UVCCM aliibuka na Lowasa kaauza nyumba ya uvccm.
Yaani hapo jibu liko wazi, shughuli yake kaajiriwa Lumumba, yupo kwenye payroll ya Nape!!Hujui shughuli anayofanya? 2010 aliwithdraw jina lake kupigiwa kura akasema kura zake apewe JK. Hujajua bado shughuli aifanyayo?
MODS TULETEENI HUYU JAMAA HAPA JAMVINI KWA MAHOJIANO ZAIDI. KAULI YAKE INATOA MASWALI MENGI SANA KULIKO MAJIBU
Kauli ya Dk. Slaa inashangaza na imevitia doa vyama vya upinzani, hii inaonyesha kumbe Dk Slaa anaogopa na hataki CCM ianguke mwaka 2015, swali la kujiuliza huyu bwana anamfanyia kazi nani? Nilitarajia Dk Slaa angefurahia CCM kuanguka ili Chadema iingie Ikulu, lakini yeye anasikitika CCM inakufa.
Umri nao ni tatizo kwenye siasa sasa ndo mtaanza kumwelewa zitto alikuwa ana maanisha nini
"Dk. Slaa hana dhamira ya dhati ya kutaka CCM iondoke madarakani, kama yeye anaona kurudishwa NEC kwa akina Lowassa na Chenge ndiyo kifo cha CCM hakupaswa kusema hayo.
"Alipaswa kunyamaza ili waweze kuishughulikia CCM na mwisho wa siku Chadema ishinde uchaguzi iingie Ikulu, lakini kwa maneno hayo ni sawa na kuifungua macho CCM, hivi wakisimamisha mtu strong (anayekubalika) Chadema itapitia mlango gani kuingia Ikulu?.
Nilitarajia Dk Slaa angefurahia CCM kuanguka ili Chadema iingie Ikulu, lakini yeye anasikitika CCM inakufa.
Hujui shughuli anayofanya? 2010 aliwithdraw jina lake kupigiwa kura akasema kura zake apewe JK. Hujajua bado shughuli aifanyayo?
Davutwa ! malayaa Mujarabu wa Siasa ! hahahaaah , Mtu ambae hata mamake Mzazi hajui chama anachoongoza . . . .
Takataka huyu , tupa kule