andrewk
JF-Expert Member
- Apr 13, 2010
- 3,102
- 488
Ungesoma vizuri usinge jichanganya hapa......Zitto anasema maneno maudhui ya hiyo barua yanafanana na lichikiandia. Pia anasema aliye post, ID yake inaonesha ndiye aliyeweka hapa video ya Lwakatale, sasa huyo mtu atakuwaje na uhusiani na Dr Slaaa?
Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.
Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.