Doube B yule mpiga kinanda yu wapi siku hizi?

Doube B yule mpiga kinanda yu wapi siku hizi?

DustBin

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2021
Posts
627
Reaction score
608
Kama heading inavyojieleza..! Mwenye kufahamu alipo please.

Ukisikiliza nyimbo za miaka ya nyuma kidogo alikua anatajwa sana. Double B...
 
Yuko Tabata Kimanga mkuu anauza matunda kwenye Genge! Ukifika pale mwisho wa gari,angalia upande wa kulia karibu na Songea Bar utamwona,kajichokea
 
Back
Top Bottom