Biteko hana akili, alihamisha miradi yote toka Chato baada ya Dkt Magufuli kuuawa na wahuni. Yaani kwa ufupi ni mbinafsi sana na inasemekana empire alikuwa kaanza kujitengenezea ya rwanda
Watanganyika wametemwa wengi.Hakuna mzenj hata mmoja ambae alikuwepo kwenye baraza lililopita katemwa .Wazenj wote wamerudi.Na kina Wanu wameongeza idadi ya wazenj